Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

 
Ally Hapi he did nothing huku, bora wamemsepesha
 
Habari za chini ya kapeti eng.Robert Gabriel kaondolewa kwa mambo makuu matatu kama yafuatavyo
1. Kupiga simu kwa waziri mkuu kwa kila jambo linaloendelea Mwanza, bila kumtaarifu aliyempa ulaji mfano madudu ya kwenye ujenzi wa meli wa mv mwanza hapa kazi tu, pamoja na muendelezo mbovu wa daraja la kigongo busisi.

2.Kwanini anapokuja Rais samia Mwanza wananchi wanakuwa wachache na shamrashamra zinakuwa kidogo kuliko jinsi Kasimu majaliwa alivyopokewa kwa shangwe na wananchi wengi walijitokeza kuja kumsikiliza.

3. Kampeni ya kujenga madarasa 11000 kwa nguvu ya wananchi hapa kinamdhalilisha rais kwani hela za covid 19 za kujenga madarasa hazikutoshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mjanja mjanja tu kaspecialize kwenye ukuu wa wilaya na mkoa tu na technics & sarakasi zote za kubaki katika nafasi hizo anazijua vizuri ndo mana kila mtu akitaja wakuu wa mikoa hawakosi kumuimba yey

Watanzania bado tuna undi ndi ndi
 
Afande Ibuge kumbe kafika PhD level duuh sikuwahi jua kabla, hongera sana kwake..
 
Wametumbuliwa bhana, siyo kwamba wanahitajika jeshini. Kwa uspesho gani wali nao ??

Wamevurunda warudi wakabebe magobore huko jeshini walikotoka. Usianze kuwapamba hapa.
Usikatae mkuu wamepanda cheo na kuwa Major General kwa majukumu mapya katika makao makuu ya jeshi.
 
Wengi wameandika andika upuuzi tu kuwahusu hao maafande ila wasipoelewa pia huu ufafanuzi wako ni kuwapuuza tu Sasa. Maana ukweli halisi ndiyo huo umeuweka hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…