Rais Samia afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya Royal Dutch Shell PLC) Bwana Ben Van Beurden

Viva Mama Samia
Viva CCM
Kazi Iendelee
===
FA2-bZzXEAIta-X
 
Hawa "chawa" wa Maza Mizinguo wanajaza ukumbi na takataka bila sababu.

Kwa hiyo hapa na mada hii kijadiliwe kitu gani?
nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua, hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa?

Hii JF siku hizi ishakuwa FB, nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???

Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine

Tofauti ya degree moja na la saba B bongo haipo.
 
nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???

Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Yaani wenye digrii ndio kama wewe uliyeandika hii post? ... Aisee
 
Nini kampigia mwenzie? Tuanzie hapo kwanza
 
nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???

Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa kaingia baada ya mzee meco kwenda zake .

Naona ni ingizo maalum kutoka kule mchamba wima
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya Royal Dutch Shell PLC) Bwana Ben Van Beurden

Viva Mama Samia
Viva CCM
Kazi Iendelee
===
FA2-bZzXEAIta-X
Sasa hapo viva ya kazi gani. Hata akizungumza na shetani mradi toka ulaya watu kama wewe mnapongeza tu.
 
Back
Top Bottom