Kwa kawaida, conceptual design and feasibility study (Pre- Front End Engineering Design alias Pre-FEED) inachukua miezi 18 hadi 24.
Baada ya Pre-FEED inafuata Front End Engineering Design (FEED) ambayo inachukua takribani 24 months.
Hapo utaona kuna a total of 4 years!!
Project execution inachukua a maximum of 5 years!!
That having been said, from Pre-FEED na kuanza kuzalisha gas kwa mara ya kwanza... inachukua a maximum of 10 Years!!
Lakini wakati umetumia a maximum of 10 years, the following benefits zinaanza kupatika:-
1. Gas kama gas for domestic and industrial use in the country
2. Gas kama gas (LNG) for export
3. Gas for power (electricity) production.
4. Gas by-products for industrial development... pale Mtwara peke yake, kuna investment ya USD 1.9 Billion kwa ajili ya kiwanda cha mbolea kinachotarajia kutumia gas by-products!
5. Gas by-products inatumika pia kwenye uzalishaji wa Ammonia, and hence having a possibility ya kuwa na Ammonia Production Plants!
6. Gas by-products pia inatumika kuzalisha Methanol, and na hivyo kuwa na uwezekano wa kuanzishwa kwa Methanol Production Plants!!
Kumbe wakati Gas By-Products, pamoja na mambo mengine inaweza ku-stimulate uwekezaji kwenye Methanol Plant, methanol inayozalishwa pia inaweza kuchochea uanzishwaji wa viwanda vingine kama vya kutengeneza plastics, paints, n.k!!
Hiyo ni Gas Project, ambayo hata ikichukua miaka 10-15, outcome ndo hiyo hapo juu!!
And in fact, hiyo ni sehemu tu kwa sababu mtu akitaka kuizungumzia Gas Industry kiuchumi na kwa mapana zaidi, basi atalazimika kutuilia na sio kwa kudandia posts kama hivi!!
Hapo itatakiwa kujadiliwa kiundani, especially, Midstream and Downstream industries na kuoanisha both industries (mid and downstream) with a LOCAL CONTENT!
Haya, nipe hapa mchanganuo wa kiuchumi wa Bwawa la Nyerere unaoweza kuleta angalau 10% of Multiplier Effect inayoweza kupatikana kwenye Gas Industry!!
Na kukumbusha tu ni kwamba, tunakaribia miaka 5 sasa tangu mradi wa Bwawa la Nyerere uanze, na bado hujakamilika, na ukamilikaji wake is subjected to fund kwa sababu tunategemea kukopa, unlike kampuni za mafuta na gas ambazo zina uwezo mkubwa zaidi ya kufanya funding kulinganisha na sisi!
Anyway, endeleeni kukejeli kila kitu kwa sababu tu Mungu Mtu wenu Magufuli hakutaka kufanya!!