KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kuna kundi la watu maalum wapo hapa JF kuanzisha mada za 'Maza Mizinguo', bila kujali zinahoja yoyote au ni takataka tu. Mara nyingi mada za aina hizo sijihangaishi nazo, napita tu kama hazipo.nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???
Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app