KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kuna kundi la watu maalum wapo hapa JF kuanzisha mada za 'Maza Mizinguo', bila kujali zinahoja yoyote au ni takataka tu. Mara nyingi mada za aina hizo sijihangaishi nazo, napita tu kama hazipo.nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???
Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nilishakudharau!Tujadili hukumu ya mbowe itakuwa kunyongwa au kifungo cha maisha?
The issue is; LNG na uwazi wa mazungumzo! Unawekewa kila kitu wazi katika process ya huo mradi , kuanzia mazungumzo na mbia bado huelewi una laumu?nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???
Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Babu yako ndio kapigaNini kampigia mwenzie? Tuanzie hapo kwanza
Ukishaingiza neno la katiba mpya hapo unakuwa umewafukuza maccmAjira hizo, ila tunataka na Katiba mpya.
Huu ujinga utaacha lini?Viva Mama Samia
Viva CCM
Kazi Iendelee
===
Hivi maana yake sasa hivi tunahama kutoka bwawa la nyerere na kuingia kwenye gasi tena ?Hawa "chawa" wa Maza Mizinguo wanajaza ukumbi na takataka bila sababu.
Kwa hiyo hapa na mada hii kijadiliwe kitu gani?
Kuna watu hawana degree na wana uwezo mzuri tu wa kujenga hoja na kuziwasilisha mbele ya hadhira.nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???
Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nitajie mbuga mbili tuUchimbaji wa mafuta kwenye bunga za wanyama uanze haraka
USSR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya Royal Dutch Shell PLC) Bwana Ben Van Beurden
Viva Mama Samia
Viva CCM
Kazi Iendelee
===
Kina pole pole hao watu wa meko na gwajixHivi mkuu unaishi nchi gani. π π π π π π π π π
Tena waanze Burigi ChatoUchimbaji wa mafuta kwenye bunga za wanyama uanze haraka
USSR
Acheni utani jamani, π π π π π π . Hao shell wanashare kwenye mradi wa LNG wala sio kwaajili ya mafuta, Tanzania hamnaga issue za mafuta.Shell nao wanataka deal la mafuta zenj ?Maana Total walipata deal la bomba la mafuta Tanga mpaka Uganda.
Acha utani,Tena waanze Burigi Chato
Uwazi ndio muhimu, hasa kwa mradi mkubwa kama huo wa LNG,lakini cha zaidi kampuni kongwe,maarufu na kubwa duniani. SHELL kwenye mradi huu.The issue is; LNG na uwazi wa mazungumzo! Unawekewa kila kitu wazi katika process ya huo mradi , kuanzia mazungumzo na mbia bado huelewi una laumu?
Ikija mikataba 'tinted' bado utalalamika! Furahia hii taarifa na ufuatilie maslahi ya nchi yako. Dah nchi hii ina baadhi ya watu vichwa vigumu kama majabaliππ.
Acheni utani jamani, π π π π π π . Hao shell wanashare kwenye mradi wa LNG wala sio kwaajili ya mafuta, Tanzania hamnaga issue za mafuta.