Rais Samia afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell

They are fossil fuels

Muhimu hapo ni wewe kusema ujasoma β€˜oil and gas’.

Nenda kasome sasa byproducts za crude oil/gas zinazopatikana kwenye distillation process.

Kwenye Gas unapata mafuta kidogo and vice versa. It is a process with so many byproducts bidhaa ya mwisho ni tar in either crude.
 
Naomba Mungu tusipigwe,hii rasilimali mafuta ikawa laana kama ilivyo kwa nchi za Nigeria nk,
Tumepigwa bomba la gesi kutoka mnazi bay mpaka Dar,sasa na hapa tukipigwa basi Tena.
Hii kampuni ya Shell ni kampuni ya Nchi,state owned company,kama ilivyo Total kwa Ufaransa,
Hii gesi Bora ingechimbwa na Stateoil kampuni yetu ya Taifa,au ishirikishwe,
 
Hizo nadharia mlizosoma,zinasaidiaje tusiibiwe?bila shaka Kuna watu Wana PHD zao za hiyo taaluma,lakini mbona tulipigwa kwenye mradi wa bomba la gesi??
Hayo ma theory ya kukalili Ili kujibu mitiani hayana tija kabisa,leteni nondo zenje tija
 
Acha kuwadanganya wanajamii forum ndugu. Geological condition ya Tanzania kwenye field zote ambazo gesi imegunduliwa hakuwezi kuwa na uwepo wa mafuta, ni gesi kavu kabisa. Ukitaka mafuta nenda kwenye field za Uganda huko huku kwetu sahau.
 
Hizo nadharia mlizosoma,zinasaidiaje tusiibiwe?bila shaka Kuna watu Wana PHD zao za hiyo taaluma,lakini mbona tulipigwa kwenye mradi wa bomba la gesi??
Hayo ma theory ya kukalili Ili kujibu mitiani hayana tija kabisa,leteni nondo zenje tija
Negotiation process ya oil and gas takes time.

Lazima uelewe wakati sisi tunataka kutumia hizo natural resources kukimbia umaskini, kwa mabeberu kwa sasa upatikanaji wa new fields it’s for their energy security measures.

It’s a risk mitigation strategy; why so? inabidi ujue what happened in 1976 baada ya six days war; waarabu walipotumia mafuta kama silaha ya vita kwao na madhara waliyopata kwenye uchumi.

So kujikinga na supply disruptions walimua kutafuta sources zingine, which could cover disruptions in one region.

Na kwa sababu wao sio desperate kukupa bad deal is not an issue wao hawana haraka kama sisi. Mabeberu wanazo hizo supply kwa sasa, tena kwa wingi tu kutokea pembe mbali mbali za dunia.

Sasa kuna issue za kuangalia hapo kwa upande wetu mfano hiyo $30 billion investment how is it funded, higher ratio ya hiyo hela kama source zake ni mikopo na interest zake kama ni kubwa wakati kwenye faida investment inalipwa kwanza, kabla ya kugawana kilichobaki kati ya mwekezaji na host nation. Kwa utaratibu huo tunaweza pata faida kidogo sana.

Halafu kuna swala la bei ya bidhaa sokoni ili upate break even ya uzalishaji inabidi uwe wa volumes fulani; wakati huo huo bei ya mafuta na Gas ni volatile bidhaa ikishuka bei kutokana na utaratibu wa kwamba investment ndio inalipwa kwanza kabla ya kugawana faida unaweza usipate kitu bei ya gas ikiwa ndogo sokoni.

Ni hivi finance za hiyo mikataba ni very complicated, tofauti na hao malofa wanavyoshangilia mradi wa $30 billion unakuja. Kwanza ata plant ya gharama hizo ni necessary kweli? bila ya kusahau asilimia kubwa ya expenditure ni vitu tutakavyoagiza.

Ebu wakaangilie minority shareholders wa Shell, karibu wote ni financial institution; watu hao hao ndio watakaowakopesha waje kuvuna interest.

The naivety ya Makamba is beyond me, negotiation za hayo mambo sio vitu vya kukenua meno na kuzungumza kama vile ni mambo ambayo ni β€˜easy peasy’.

Eti maongezi yanaanza A.S.A.P na tunaunda team mpya anaongea kwa majivuno kabisa, gosh the nonsense.

Binafsi baada ya kumsikia Kakoko na bandari nina imani Tanzania sasa hivi ina good negotiators; tatizo kuna wanasiasa wanapapara sana speaker wa bunge akiwa kinara.
 
Negotiation process ya oil and gas takes time.

Lazima uelewe wakati sisi
Bora umelezwa ukweli mm kiufupi sijayapenda maswali yako ya kitoto. Tujadiri issue za mikataba sio upupu wa distillation usio maana yeyote.
 
Hizo nadharia mlizosoma,zinasaidiaje tusiibiwe?bila shaka Kuna watu Wana PHD zao za hiyo taaluma,lakini mbona tulipigwa kwenye mradi wa bomba la gesi??
Hayo ma theory ya kukalili Ili kujibu mitiani hayana tija kabisa,leteni nondo zenje tija
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒEti ananiambia nikasome byproducts,
 
Mradi wa LNG ujenzi tu ni miaka 10 wakati JNHPP ni 3 yrs, je tungesubiri 10-15 yrs kuongeza uzalishaji wetu wa umeme?
 
Wanataka kuwekeza kwenye LNG au CNG?

Ingekuwa poa hao jamaa wawekeze na kwenye CNG, tumechoka kulipia petrol ambayo kila uchwao bei inapanda hatari...
Uwekezaji wa CNG hata watanzania wenyewe wanaweza fanya, CNG haina tofauti kubwa na petrol stations, baada ya miaka 10 CNG stations zitaongezeka sana tu, LNG plant uwekezaji wake ni mkubwa, LNG ya Tz bajeti yake ni 30bn $, hii ni sawa na bajeti nzima ya Tz kwa miaka 2.
 
Acha kuwadanganya wanajamii forum ndugu. Geological condition ya Tanzania kwenye field zote ambazo gesi imegunduliwa hakuwezi kuwa na uwepo wa mafuta, ni gesi kavu kabisa. Ukitaka mafuta nenda kwenye field za Uganda huko huku kwetu sahau.
Ndio maana nika kwambia kasome tena β€˜oil and gas’.

Asilimia kubwa ya gas reserve Tanzania ipo bahari ya hindi, sasa kama unaelewa wa hayo mambo unachochimba baharini kina kuja na maji. So distillation is a necessary.

Sisi wengine tukisoma tu comment za mtu kwenye discipline fulani unajua huyu mbombezi kanizidi na huyu hajui kabisa.

Wewe knowledge yako kwenye hayo maswala ni very limited.
 
Bora umelezwa ukweli mm kiufupi sijayapenda maswali yako ya kitoto. Tujadiri issue za mikataba sio upupu wa distillation usio maana yeyote.
Ni kwa sababu ulibisha kwenye Gas kuna mafuta na kwenye mafuta kuna gas. Viwango tu ndio vinapishana.
 

Kwenye zile reservoir za offshore za Mtwara kule, ni gas tu inayopatikana, hakuna hata chembe ya mafuta...
 
Kwenye zile reservoir za offshore za Mtwara kule, ni gas tu inayopatikana, hakuna hata chembe ya mafuta...
Wanatumia neno gas reserve kwa sababu hiyo ndio product iliyonyingi commercially but there is always little amount of oil.

Hata kwenye mafuta watazungumzia product iliyo commercial, but there is always small amount of gas.
 
Wanatumia neno gas reserve kwa sababu hiyo ndio product iliyonyingi commercially but there is always little amount of oil.

Hata kwenye mafuta watazungumzia product iliyo commercial, but there is always small amount of gas.

Ngoja nikubali tu sababu unaweza jikuta unadisclose mavitu yanayoweza kufanya mtu ujulikane 😊
 
Mradi wa LNG ujenzi tu ni miaka 10 wakati JNHPP ni 3 yrs, je tungesubiri 10-15 yrs kuongeza uzalishaji wetu wa umeme?
Kwa kawaida, conceptual design and feasibility study (Pre- Front End Engineering Design alias Pre-FEED) inachukua miezi 18 hadi 24.

Baada ya Pre-FEED inafuata Front End Engineering Design (FEED) ambayo inachukua takribani 24 months.

Hapo utaona kuna a total of 4 years!!

Project execution inachukua a maximum of 5 years!!

That having been said, from Pre-FEED na kuanza kuzalisha gas kwa mara ya kwanza... inachukua a maximum of 10 Years!!

Lakini wakati umetumia a maximum of 10 years, the following benefits zinaanza kupatika:-

1. Gas kama gas for domestic and industrial use in the country
2. Gas kama gas (LNG) for export
3. Gas for power (electricity) production.
4. Gas by-products for industrial development... pale Mtwara peke yake, kuna investment ya USD 1.9 Billion kwa ajili ya kiwanda cha mbolea kinachotarajia kutumia gas by-products!
5. Gas by-products inatumika pia kwenye uzalishaji wa Ammonia, and hence having a possibility ya kuwa na Ammonia Production Plants!
6. Gas by-products pia inatumika kuzalisha Methanol, and na hivyo kuwa na uwezekano wa kuanzishwa kwa Methanol Production Plants!!

Kumbe wakati Gas By-Products, pamoja na mambo mengine inaweza ku-stimulate uwekezaji kwenye Methanol Plant, methanol inayozalishwa pia inaweza kuchochea uanzishwaji wa viwanda vingine kama vya kutengeneza plastics, paints, n.k!!
Hiyo ni Gas Project, ambayo hata ikichukua miaka 10-15, outcome ndo hiyo hapo juu!!

And in fact, hiyo ni sehemu tu kwa sababu mtu akitaka kuizungumzia Gas Industry kiuchumi na kwa mapana zaidi, basi atalazimika kutuilia na sio kwa kudandia posts kama hivi!!

Hapo itatakiwa kujadiliwa kiundani, especially, Midstream and Downstream industries na kuoanisha both industries (mid and downstream) with a LOCAL CONTENT!

Haya, nipe hapa mchanganuo wa kiuchumi wa Bwawa la Nyerere unaoweza kuleta angalau 10% of Multiplier Effect inayoweza kupatikana kwenye Gas Industry!!

Na kukumbusha tu ni kwamba, tunakaribia miaka 5 sasa tangu mradi wa Bwawa la Nyerere uanze, na bado hujakamilika, na ukamilikaji wake is subjected to fund kwa sababu tunategemea kukopa, unlike kampuni za mafuta na gas ambazo zina uwezo mkubwa zaidi ya kufanya funding kulinganisha na sisi!

Anyway, endeleeni kukejeli kila kitu kwa sababu tu Mungu Mtu wenu Magufuli hakutaka kufanya!!
 
Yaani nimesoma naona wewe ni mshabiki tu usiyejitambua!
 

Hivi waheshimiwa ni wana siasa tu? Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji sio waheshimiwa?

Amandla...
 
Samia kama Samia, huwa anauzungumzia! Hata mwezi uliopita alikuwa na Contractor anayejenga Bwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…