Rais Samia afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell

Samia kama Samia, huwa anauzungumzia! Hata mwezi uliopita alikuwa na Contractor anayejenga Bwawa.
Lakini kuna msukumo mkubwa kuelekea kwenye gas zaidi ya bwawa.
 
Yaani nimesoma naona wewe ni mshabiki tu usiyejitambua!
Unaonesha dalili zote za kuwa na ufahamu mdogo...

Unaweza kueleza ni kipi hapo nilichokitaja kwa ushabiki kama sio tu unasumbuliwa na ufahamu duni?
 
Lakini kuna msukumo mkubwa kuelekea kwenye gas zaidi ya bwawa.
Lakini lazima tufahamu suala la mradi wa gesi isn't just for power generation, na kwahiyo, ingawaje ni kweli pia gesi inazalisha umeme lakini gas inayozungumziwa sasa sio substitute ya Bwawa la Nyerere, especially at this stage!!!

Endapo utaisikia nguvu zinaelekezwa kwenye Gas ya Msimbati au Songosongo huku wakiendelea kujenga plants pale Kinyerezi, basi hiyo ndo direct substitute ya Bwawa la Nyerere lakini kwa gas inayozungumziwa, is a much bigger project kuliko suala la kuzalisha umeme!!!

Hapa tunazungumzia zile 57 trillion cubic feet zilizogunduliwa awamu ya IV, na haijachimbwa hata tone!! Hii ni gas ambayo kwa kiasi kikubwa itatumika for export, na ndo maana unakuta processing plant yake tu inakaribia TZS trillion 70... bajeti ya Tanzania kwa miaka miwili.
 
Kwanini mradi huu wa gasi ulikuwa kimya chini ya awamu ya tano ?

Kwanini sasa hivi umepata msukumo mkubwa sana baada ya kuingia waziri January Makamba ?
 
Degree ya kumvulia chup prof. Utunukiwe GPA 4.6 au degree gani bwashee?
 
Kwanini mradi huu wa gasi ulikuwa kimya chini ya awamu ya tano ?

Kwanini sasa hivi umepata msukumo mkubwa sana baada ya kuingia waziri January Makamba ?
Hilo swali anaweza kujibu JPM kwanini hakungaika kabisa na huo mradi....

Lakini sie tuliofuatilia kwa undani kabisa huu mradi, tunafahamu moja ya makosa makubwa kabisa ambayo JPM aliyafanya ni kuupuza huo mradi...

Hapo propaganda zikaanza kuenezwa kwamba gas yote ameuziwa Mchina....

Na kwavile Watanzania sio watu wa kufuatilia mambo, wakazimeza hizo propaganda!

Wakazimeza propaganda bila kutafakari hivi Wazungu ni wapumbavu kiasi gani watumie mabilioni ya pesa kufanya gas exploration halafu gas gwamwachie Mchina...

Unaweza kutumia anywhere from TZS 50 Billion kufanya gas exploration (utafutaji gas) kwa kisima kimoja TU cha mafuta, na unaweza usipate!

Royal Dutch Shell kwa mfano, walitumia karibu Trillion 2 kufanya hizi shughuli, halafu wamwachie Mchina gas!!

Na mambo mengine ni ya kutumia common sense tu! Yaani Mchina aweze kuchimba gas lakini ashindwe kujenga kiwanda cha kuchakata gas?!

Manake, hata walioamini kwamba gas yote kauziwa Mchina, wanafahamu kiwanda cha kuchakata gesi ilikuwa kijengwe na kampuni za mafuta za Ulaya!!
 
Halafu kwanini uandike na kuchambua mada kisomi baadaye umalizie na kujaza chuki zako?

Kubwabwaja kwako tu hapa theoretically tayari unajiona matawi kuliko hata Magufuli aliyelifanyia taifa makubwa!

Umelifanyia nini taifa wewe mpaka uthubutu kumkejeli marehemu Magufuli!

Nilivyosoma sentensi ya mwisho uliyoibold nikajuta hata kusoma comment yako.

Binadamu wa ajabu sana kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…