Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

Nikimkumbuka huyu mwamba Kadogosa,nakumbuka siku JPM alipokuwa anafanya kampeni kanda ya ziwa,alimtumia huyu jamaa kuwarubuni wasukuma wampe kura kwa vile mtoto wao Kadogosa ndiye anayejenga reli ya kwenda Kanda ya ziwa,
Jiwe alikuwa taperi sana,
 
Kadogosa aondolewe aludi kwao Bariadi,aliwekwa kimasilahi na mwendazake.
wewe kaburu kakosea nini? au kwa sababu tu nimsukuma? nyie wajinga endelezeni tu huo ukaburu ipo siku mtaelewa maana yake.
 
Rais Samia alimueleza Mkurugenzi wa TRC kuwa Serikali itahakikisha kuwa Mradi wa SGR utakaounganisha Bandari ya Dar es salaam na Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibi na Nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na DRC unakamilika kwa wakat
Hili likiwezekana katika miaka minne hii litaleta heshima kubwa kwa mama.

Lakini hiki kipande cha Dar hadi Morogoro kinaweka sura mbaya. Ujenzi ukiendelea hivi, hata miaka kumi ijayo hiyo reli itakuwa haijafika popote.
 
Nikimkumbuka huyu mwamba Kadogosa,nakumbuka siku JPM alipokuwa anafanya kampeni kanda ya ziwa,alimtumia huyu jamaa kuwarubuni wasukuma wampe kura kwa vile mtoto wao Kadogosa ndiye anayejenga reli ya kwenda Kanda ya ziwa,
Jiwe alikuwa taperi sana,
Kuna jamaa la Hai tapeli la kisiasa jizi na limayalaya nasikia linajinyea kitandani limboye linajinyea kitandani
 
Wewe unataka tufanane mawazo ?Dunia haijaumbwa hivyo
 

Kipande hiki kitasafirisha mizigo toka Mombasa nchini Kenya mpaka Isaka Tanzania.

Isaka Tanzania kuelekwa Rwanda.
 
Hii reli pamoja na kurahisha usafiri hasa kwa majiji ya Dar es salaam,Dodoma na Mwanza pia kitakuwa chanzo mojawapo kikubwa sana cha ajira kwa watanzania ambapo tumeanza kunufaika tangu ujenzi ulipoanza na kama ulivyosikia hayo mabilioni yaliyotengwa ambapo pesa za mradi wanufaika Wakubwa ni watanzania wanaofanya kazi katika ujenzi wa Reli hiyo,awamu ya sita ni awamu ya vitendo na amani kubwa kwa watanzania wapenda mabadiliko,hongera kwa serikali yetu chini ya uongozi wa MH. Raisi wetu mama Samia Suluhu HASANI.
 
Ingekuwa jambo la Msingi kupeleka SGR kigoma kuliko mwanza
Kipande cha kigoma ni cha kimkakati kuliko mwanza
Si vizuri kufanya mambo kama mwendazake kwamba kila kitu lazima kiende Mwanza hata kama hakina tija
 
wewe kaburu kakosea nini? au kwaa sababu tunimsukuma? nyie wajinga endelezeni tu huo ukaburu ipo siku mtaelewa maana yake.
Wanautaka ukabila muda si mrefu wataupata na msije kulalamika kuwa wasukuma wanajipendelea. Kabila kubwa ni wasukuma sijui watakuja kuwadhibitije endeleeni
 

Mbona hakuna kipande cha reli kinacho pitia Mkoa wa Kagera kwenda Uganda via Kikagati!! Mkoa wa Kagera utasahulika mpaka lini? Hakuna kituo cha mabasi chenye adhi, soko lenyewe tangu enzi za ukoloni wa Kijerumani, Mkoa wa Kagera una wakazi wanaokaribia million tano lakini hakuna Hospitali ya rufaa, Govt Hospital tangu enzi za Kijerumani, barabara za mjini vumbi tupu mkuu wa mkoa na wasaidizi wake wanapita hapo hapo kila siku wanaona sawa tu - wakati Mikoa mingi hapa Yanzania wamejenga Regional Blocks za kupendeza lakini Mkoa wa Kagera una majengo yaliyo achwa na wakoloni including Mahakama ebu jaribu kulinganisha mahakama ya Bukoba mjini na mahakama ya Kigoma - kwani wakazi wa mkoa wa Kigoma ni wangapi? Binafsi namuomba Madam President ajaribu kuangalia upya viongozi anao wapeleka Mkoa wa Kagera wengi wao for some reasons hawana nia dhabiti ya kuendeleza Mkoa huo.
 
Lini ataongea na TAZARA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…