Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

Mkurugenzi na Timu yake inayo simamia mradi huu wa SGR wanapaswa wakune vichwa kuona ni jinsi gani mradi huu unakuwa ni kiunganishi cha vyanzo vya uchumi wa taifa
 
Hiyo ya mkuu Bagamoyo na mizigo ya Mombasa sijui kaitoa wapi!

Mizigo hiyo ya njia ya Mombasa itabidi ipakuliwe melini, ipakiwe SGR, ipelekwe Naivasha, ipakuliwe na kupakiwa kwenye Meter rail kupelekwa Kisumu ambapo inaweza kubidi ipakuliwe tena na kupakiwa kwenye meli hadi Mwanza, ishushwe na kupakiwa kwenye SGR kupelekwa Isaka, ishushwe na kupakiwa kwenye malori kupelekwa Burundi na DRC?

Nani atafanya biashara ya aina hiyo!
 
Reli iliyotakiwa kuimarishwa ni TZR ...kupanga ni kuchagua ...Kama unazingatia vipaumbele!TRC ingefuata...ila ndio hivyo tulikywa tunzbyruzwa na My Mungu Jiwe!
 
Kuna shida gani hicho kipande mpaka kisikamilike? Vipi kuhusu moro- dodoma kimekamilika?
Hiki kilitakiwa kiwe kimekamilika hadi sasa, hicho cha Dodoma sijui kilipangwa kikamilike lini, huenda wakati wake bado.
 
Hivi siku hizi wale waandishi was habari wenyekuuliza (interview) maswali yakitaalamu hakuna??

Maana ma medie mengi lakini wananchi bado wanamaswali mengi
 
Reli iliyotakiwa kuimarishwa ni TZR ...kupanga ni kuchagua ...Kama unazingatia vipaumbele!TRC ingefuata...ila ndio hivyo tulikywa tunzbyruzwa na My Mungu Jiwe!
Uliambiwa TAZARA ni yako?
Muwe mnajiahangaisha kidogo kupata taarifa, usilaumu tu.
 
Huyo atakuwa kasoma tu heading, then akakimbia mbio kukoment
 
Pombe ililevya wengi na haijawatoka...
 
Ukweli tuseme, huu mradi ukamilishwe kwanza kutoka Dar to Dom na teen lianze Nazi, sasa kwa mtindo huu mbona kukamilika itachukua awam7
mradi utaanza kufanya kazi kwa awamu kama ulivyoanza kwa awamu,ndani ya mwaka huu kutakuwa na treni kati ya Dar-Moro kipande cha pili kikiwa tayari safari zinaongezeka Dar-Moro-Dom
 
kwa nn mwendazake aliamua kitengeneze cha isaka mwanza na kuacha makutopora tabora na tabora isaka
Ilikua ni strategy nzuri ya mwendazake ili atakayekuja badala yake asibadili mawazo maana vipande vinavyobaki vinakua vidogo,
Si wajua hapa kwetu kila Rais akiingia na kipaumbele chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…