Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

Amesifia sana. Wacha akumbukwe. Ila hana uwezo wa ufanisi katika nafasi hiyo
Hamna kitu hapo, anahudhuria vikao vinne kwa mwaka na hana mshahara analipwa posho ya vikao na usafiri tu,

Kiujumla ni kama kapumzishwa mazima 🤣🤣🤣🤣
 
Wadau,
Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa!View attachment 2470231
View attachment 2470232

=====

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.

Amemteua Bw. Justine Peter Mwandu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC). Bw. Mwandu ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Reinsurance (TANRE).

Amemteua Prof. Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Masanja ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela.

Amemteua Bw. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Bw. Mwakapeje alikuwa Mkurugenzi, Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria. Bw. Mwakapeje anachukua nafasi ya Bw. Casmir S. Kyuki ambaye atamaliza kipindi chake tarehe 07 Januari, 2023.

Amemteua Bi. Fatma Mohamed Abdallah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Abdallah ni Meneja wa Kampuni ya Puma Energy nchini Geneva. Aidha, Bi. Abdallah anachukua nafasi ya Dominic Dhanah ambaye amemaliza muda wake.

Amemteua Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Bw. Kafulila ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mstaafu.

Teuzi hizi zinaanza mara moja.
Kafulila kajitahidi kusifia sana
 
Kumbe Samia na Magufuli hawana tofauti sana, uchawa wa Kafulila imemrudisha kazini. Njia pekee ya kupata uteuzi ni kusifia mamlaka ya uteuzi hata inapoboronga
Uchawa gan ndugu.kwan unahis hana utaalamu huo? Na wewe unao keyboard waroir
 
Hizi teua tumbua zinazoendelea zitatuletea matatizo. Maana machawa na waimba mapambio wataongezeka sasa ili wateuliwe.
Wale walio na nafasi bado madarakani watakesha wakisifia mpaka mvua kuletwa na mama ili kibarua kisiote nyasi.

Kipindi hiki Magufuli atatukanwa sana ili tu watu waonekane ni watiifu kwa mama.

Kina Ally Hapi wataibuka sasa hivi kusifia hata visivyosifika vya mama ili waonekane na wao.

ally hapi hana mambo ya kipuuzi hana uchawa yupo kwenye kilimo
 
Wadau,
Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa!View attachment 2470231
View attachment 2470232

=====

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.

Amemteua Bw. Justine Peter Mwandu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC). Bw. Mwandu ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Reinsurance (TANRE).

Amemteua Prof. Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Masanja ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela.

Amemteua Bw. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Bw. Mwakapeje alikuwa Mkurugenzi, Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria. Bw. Mwakapeje anachukua nafasi ya Bw. Casmir S. Kyuki ambaye atamaliza kipindi chake tarehe 07 Januari, 2023.

Amemteua Bi. Fatma Mohamed Abdallah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Abdallah ni Meneja wa Kampuni ya Puma Energy nchini Geneva. Aidha, Bi. Abdallah anachukua nafasi ya Dominic Dhanah ambaye amemaliza muda wake.

Amemteua Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Bw. Kafulila ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mstaafu.

Teuzi hizi zinaanza mara moja.
Kafulila mtegoni ajiangalie asifikiri escrow imekwishwa watu wanamlia timing namshauri tu awe makini hasa hii post yake ya sasa
 
Ujio wa Kafulila fedha,

Ni Ishara pia siku za Mwigu zinahesabika.
 
Back
Top Bottom