Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Mhandisi Mramba wa TANESCO na yule mzee aliekuwa NDC somebody Mpucha nadhani ndio wakurugenzi waliotolewa kwa uonevu na sababu nyepesi kuliko wote wengine.

Sasa mvua imenyesha tumeanza kuona wapi kunavuja.
 
mmeshatengeneza na mkeka!duuh watu mna moyo
 
Hao jamaa waliohamishiwa utumishi wa umma na utawala bora kutoka Tanesco nanong'onezwa sikioni kuwa ni "wale jamaa zetu"" mission accomplished

Mmmm sio kwamba wamevurunda? Sababu Mtu ukivurunda Unarudi kwanza Utumishi kujipanga Sababu yeye ndio Muajiri!
Anyway Kama Upo karibu na WAlikuwa ni wachapa Kazi unaweza Kuwa sahihi!
 
U yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.

Tanesco wameula[emoji106]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umetumia vigezo vipi? Unamfahamu?
Nenda kaulize Wafanyakazi wa Nbc ndio watakuelezea ni mtu wa aina gani..huyu jamaa na mafuru ni mapacha pendwa wa jk..wafanya kazi wengi wa nbc hawana hi na Hawa watu wwili...wakati wao huuu wacha wale nchi..
Nb: kweli katiba mpya ni muhimu sana.ifike wakati hizi nafasi zitangazwe watu wachujwe kwa kuzingatia uwezo na sio kujuana
 
Acha uwongo magufuli uteuzi wake vigezo vilikua ni viwili tu ukatoliki au unatokea kanda ya ziwa. Sasa mmebanwa upande wa pili mnaona inauma pumbavuu .

Hapana Mkuu
Magu Kama Umesoma UD,Una Phd ni uhakika 100,
Mengine yalikuwa nyingeza kwake kama hiyo Ukabila na Udini,
Ila Vya Kwanza muhimu kwake ilikjwa Phd na Udsm!
Mara chahche sanaa Vyuo vingine au huna Phd,
 
Mungu Mkubwa sana, siku zote atawainua wanaomtegemea.
Jamani msimuhusishe Mungu na mambo ya wanadamu..it's obviously kwamba timu ya kikwete inarudi kwenye ramani now..baada ya kupigwa msoto wa miaka kadhaa
 
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Acha udini wewe, Magufuli alivokuwa anateua wakiristo ulikuwa wapi kuongea?
 
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
chuki yako juu ya dini inajidhihirisha.ila hujakaa ukatizama takwimu za ajira ni idad ipi ya dini inaongoza kwa kuwa na waajiriwa wengi? tuache chuki xa kidini zitatugawa
 
yaaani inshu ya REA IMEKUWA SHIDA SANA ASE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…