Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmeshatengeneza na mkeka!duuh watu mna moyoHaitowezekana kubalance ndugu yangu.
Hatuangalii kubalance tunaangalia uwezo. Kwa hali ilivyo Mama akisema abalance basi ndio kelele zitazidi maana ili Mheshimiwa rais aweze ku-balance itabidi ateue Waislam zaidi na zaidi na zaidi maana ni wachache serikalini. Kwa mfano:-
TANZANIAN CABINET UNDER PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN
(1) Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan- The president -MUSLIM
(2) Dkt. Philip Mpango- Makamo wa Rais- CHRISTIAN
(3) Mh. Kassim Majaliwa- Waziri Mkuu- MUSLIM
(4) Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi- President of Zanzibar- MUSLIM
(5) Mh. January Makamba- Nishati- MUSLIM
(6) Dkt. Ashatu Kijaji- Habari na mawasiliano- MUSLIM
(7) Mh. Jumaa Aweso- Maji- MUSLIM
(8) Mh. Makame Mbarawa- Usafirishaji- MUSLIM
(9) Mh. Mudrick Soragha- OR- Uchumi na Uwekezaji- MUSLIM
(10) Mh. Suleiman Jafo- OR- Muungano na Mazingira- MUSLIM
(11) Mh. Ummy Mwalimu- OR- TAMISEMI- MUSLIM
(12) Mh. Adolf Mkenda- Kilimo na Mifugo- CHRISTIAN
(13) Mh. Innocent Bushongwa- Sanaa, Utamaduni na Michezo- CHRISTIAN
(14) Mh. Palamagamba Kabudi- Katiba na Sheria- CHRISTIAN
(15) Mh. Stergomena Tax- Ulinzi na JKT- CHRISTIAN
(16) Mh. Joyce Ndalichako- Elimu- CHRISTIAN
(17) Mh. Mwigulu Nchemba- Fedha na Mipango- CHRISTIAN
(18) Mh. Libearat Mulamula- Mambo ya nje- CHRISTIAN
(19) Mh. Dorothy Gwajima- Afya- CHRISTIAN
(20) Mh. Kitila Mkumbo- Viwanda na Biashara- CHRISTIAN
(21) Mh. William Lukuvi- Ardhi- CHRISTIAN (tena Mdini balaa)
(22) Mh. Mashimba Ndaki- Ufugaji na Uvuvi- CHRISTIAN
(23) Mh. Dotto Biteko- Madini- CHRISTIAN
(24) Mh. Damas Ndumbaro- Maliasili na Utalii- CHRISTIAN
(25) Mh. George Simbachawene- Mambo ya Ndani- CHRISTIAN
(26) Mh. George Mkuchika- OR Utumishi wa Umma na utawala bora- CHRISTIAN
(27) Mh. Jenister Mhagama- OWM Sera, bunge, kazi, vijana na walemavu- CHRISTIAN
Sasa hilo ni CABINET lenye member 27, 10 tu ndio Waislam hapo. Kwahiyo kama tunataka mama abalance itabidi wanne wakristo wapigwe na chini halafu nafasi zao zijazwe na waislam watatu na mpagani (asie na dini) mmoja) ili uwakilishi wa hizi dini uwe sawasawa.
Ndugu zetu Wakristo (sio wote) acheni chuki dhidi ya Uislam na waislam.
Mnyonge mnyonge lakini CCM hawatoi nafasi kwa ubaguzi wa kidini au kikabila. Nina wasiwasi chama flani kikichukua nchi kama kitaweza kuweka usawa.
Hao jamaa waliohamishiwa utumishi wa umma na utawala bora kutoka Tanesco nanong'onezwa sikioni kuwa ni "wale jamaa zetu"" mission accomplished
Umetumia vigezo vipi? Unamfahamu?U yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.
Tanesco wameula[emoji106]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha uwongo magufuli uteuzi wake vigezo vilikua ni viwili tu ukatoliki au unatokea kanda ya ziwa. Sasa mmebanwa upande wa pili mnaona inauma pumbavuu .
Utawala uliopita Rais Rais mkristoRais muislam
Waziri mkuu muislam
Katibu mkuu kiongozi muislam
Mkurugenzi mawasiliano ikulu muislam!
Jamani msimuhusishe Mungu na mambo ya wanadamu..it's obviously kwamba timu ya kikwete inarudi kwenye ramani now..baada ya kupigwa msoto wa miaka kadhaaMungu Mkubwa sana, siku zote atawainua wanaomtegemea.
Mikeka kama hii inasaidia kupunguza kelele kwa wanaopenda kusema uongo hata Nyerere alipoambiwa anawapendelea wakatoliki ilibidi ataje mawaziri wake wote kwa majina na dini zao ili kukata mzizi wa fitna .wabongo nuksi sanammeshatengeneza na mkeka!duuh watu mna moyo
Alifanya pia vodacom na NBC Bank. My co worker anaujuaU yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.
Tanesco wameula[emoji106]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nani siyo mtanzania kwenye huo uteuzi hapo?Hata kama ni upande wa pili basi tuletewe na Mtanganyika mwenzetu na sio mtu kutoka nchi nyingine.
Roho mbaya na chuki zisizo na msingi.halafu ogopa sana mtu anaekuchekea usoni huku moyoni anataka kukuaa. Ndio tabia za wenzetu.Ndugu zetu hawana ustahmilivu kabisa
Acha udini wewe, Magufuli alivokuwa anateua wakiristo ulikuwa wapi kuongea?Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Haswaaaa. Wanajifanya wema sana na hawana shida na Sisi kumbe weeeeeRoho mbaya na chuki zisizo na msingi.halafu ogopa sana mtu anaekuchekea usoni huku moyoni anataka kukuaa. Ndio tabia za wenzetu.
Au nimesema uongo mkuu??mmeshatengeneza na mkeka!duuh watu mna moyo
chuki yako juu ya dini inajidhihirisha.ila hujakaa ukatizama takwimu za ajira ni idad ipi ya dini inaongoza kwa kuwa na waajiriwa wengi? tuache chuki xa kidini zitatugawaOfisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Huo uzuri wake upo wapi au ndio unampigia kampeni...U yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.
Tanesco wameula[emoji106]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kabisa. Halafu mtu anajadili dini wakati ni mlevi, mzinzi na mlozi tu . Dini ni wewe na Mungu wako.Wakoloni na waarabu walifanikiwa sana kupandikiza hizi dini za Majahazi kwenye vichwa vya wapuuzi wa Tanzania
yaaani inshu ya REA IMEKUWA SHIDA SANA ASERais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi
Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO
====
Rais Samia amemteua Hassan Seif Said kuwa Mkurugenzi Mkuu Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Kabla ya uteuzi, alikuwa Meneja wa Kanda Mwandamizi wa Kanda ya Mashariki TANESCO
Aidha, Michael Minja ameteuliwa kuwa Kamishna wa Petrol na Gesi, Wizara ya Nishati. Kabla ya kuteuliwa, Minja alikuwa Mkurugenzi Mkuu TIPPER
Vilevile, Rais amemteua Felschemi Mramba kuwa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu
=====
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amewahamisha Watumishi Waandamizi watano kutoka TANESCO kwenda Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambapo watapangiwa majukumu mengine
Waliohamishwa ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji, Khalid James; Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Masoko, Mhandisi Raymond Seya na Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usafirishaji, Mhandisi Isaac Chanje
Wengine ni Nyelu Mwamaja (Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi) na Amos Ndegi (Mwanasheria wa TANESCO)
View attachment 1952485
View attachment 1952487
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Huu upumbavu umewajaa sana waafrikaKabisa. Halafu mtu anajadili dini wakati ni mlevi, mzinzi na mlozi tu . Dini ni wewe na Mungu wako.