Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Mhandisi Mramba wa TANESCO na yule mzee aliekuwa NDC somebody Mpucha nadhani ndio wakurugenzi waliotolewa kwa uonevu na sababu nyepesi kuliko wote wengine.

Sasa mvua imenyesha tumeanza kuona wapi kunavuja.
 
Haitowezekana kubalance ndugu yangu.

Hatuangalii kubalance tunaangalia uwezo. Kwa hali ilivyo Mama akisema abalance basi ndio kelele zitazidi maana ili Mheshimiwa rais aweze ku-balance itabidi ateue Waislam zaidi na zaidi na zaidi maana ni wachache serikalini. Kwa mfano:-

TANZANIAN CABINET UNDER PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN

(1) Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan- The president -MUSLIM
(2) Dkt. Philip Mpango- Makamo wa Rais- CHRISTIAN
(3) Mh. Kassim Majaliwa- Waziri Mkuu- MUSLIM
(4) Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi- President of Zanzibar- MUSLIM
(5) Mh. January Makamba- Nishati- MUSLIM
(6) Dkt. Ashatu Kijaji- Habari na mawasiliano- MUSLIM
(7) Mh. Jumaa Aweso- Maji- MUSLIM
(8) Mh. Makame Mbarawa- Usafirishaji- MUSLIM
(9) Mh. Mudrick Soragha- OR- Uchumi na Uwekezaji- MUSLIM
(10) Mh. Suleiman Jafo- OR- Muungano na Mazingira- MUSLIM
(11) Mh. Ummy Mwalimu- OR- TAMISEMI- MUSLIM
(12) Mh. Adolf Mkenda- Kilimo na Mifugo- CHRISTIAN
(13) Mh. Innocent Bushongwa- Sanaa, Utamaduni na Michezo- CHRISTIAN
(14) Mh. Palamagamba Kabudi- Katiba na Sheria- CHRISTIAN
(15) Mh. Stergomena Tax- Ulinzi na JKT- CHRISTIAN
(16) Mh. Joyce Ndalichako- Elimu- CHRISTIAN
(17) Mh. Mwigulu Nchemba- Fedha na Mipango- CHRISTIAN
(18) Mh. Libearat Mulamula- Mambo ya nje- CHRISTIAN
(19) Mh. Dorothy Gwajima- Afya- CHRISTIAN
(20) Mh. Kitila Mkumbo- Viwanda na Biashara- CHRISTIAN
(21) Mh. William Lukuvi- Ardhi- CHRISTIAN (tena Mdini balaa)
(22) Mh. Mashimba Ndaki- Ufugaji na Uvuvi- CHRISTIAN
(23) Mh. Dotto Biteko- Madini- CHRISTIAN
(24) Mh. Damas Ndumbaro- Maliasili na Utalii- CHRISTIAN
(25) Mh. George Simbachawene- Mambo ya Ndani- CHRISTIAN
(26) Mh. George Mkuchika- OR Utumishi wa Umma na utawala bora- CHRISTIAN
(27) Mh. Jenister Mhagama- OWM Sera, bunge, kazi, vijana na walemavu- CHRISTIAN

Sasa hilo ni CABINET lenye member 27, 10 tu ndio Waislam hapo. Kwahiyo kama tunataka mama abalance itabidi wanne wakristo wapigwe na chini halafu nafasi zao zijazwe na waislam watatu na mpagani (asie na dini) mmoja) ili uwakilishi wa hizi dini uwe sawasawa.

Ndugu zetu Wakristo (sio wote) acheni chuki dhidi ya Uislam na waislam.
mmeshatengeneza na mkeka!duuh watu mna moyo
 
Hao jamaa waliohamishiwa utumishi wa umma na utawala bora kutoka Tanesco nanong'onezwa sikioni kuwa ni "wale jamaa zetu"" mission accomplished

Mmmm sio kwamba wamevurunda? Sababu Mtu ukivurunda Unarudi kwanza Utumishi kujipanga Sababu yeye ndio Muajiri!
Anyway Kama Upo karibu na WAlikuwa ni wachapa Kazi unaweza Kuwa sahihi!
 
U yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.

Tanesco wameula[emoji106]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umetumia vigezo vipi? Unamfahamu?
Nenda kaulize Wafanyakazi wa Nbc ndio watakuelezea ni mtu wa aina gani..huyu jamaa na mafuru ni mapacha pendwa wa jk..wafanya kazi wengi wa nbc hawana hi na Hawa watu wwili...wakati wao huuu wacha wale nchi..
Nb: kweli katiba mpya ni muhimu sana.ifike wakati hizi nafasi zitangazwe watu wachujwe kwa kuzingatia uwezo na sio kujuana
 
Acha uwongo magufuli uteuzi wake vigezo vilikua ni viwili tu ukatoliki au unatokea kanda ya ziwa. Sasa mmebanwa upande wa pili mnaona inauma pumbavuu .

Hapana Mkuu
Magu Kama Umesoma UD,Una Phd ni uhakika 100,
Mengine yalikuwa nyingeza kwake kama hiyo Ukabila na Udini,
Ila Vya Kwanza muhimu kwake ilikjwa Phd na Udsm!
Mara chahche sanaa Vyuo vingine au huna Phd,
 
Mungu Mkubwa sana, siku zote atawainua wanaomtegemea.
Jamani msimuhusishe Mungu na mambo ya wanadamu..it's obviously kwamba timu ya kikwete inarudi kwenye ramani now..baada ya kupigwa msoto wa miaka kadhaa
 
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Acha udini wewe, Magufuli alivokuwa anateua wakiristo ulikuwa wapi kuongea?
 
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
chuki yako juu ya dini inajidhihirisha.ila hujakaa ukatizama takwimu za ajira ni idad ipi ya dini inaongoza kwa kuwa na waajiriwa wengi? tuache chuki xa kidini zitatugawa
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka

Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi

Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO

====

Rais Samia amemteua Hassan Seif Said kuwa Mkurugenzi Mkuu Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Kabla ya uteuzi, alikuwa Meneja wa Kanda Mwandamizi wa Kanda ya Mashariki TANESCO

Aidha, Michael Minja ameteuliwa kuwa Kamishna wa Petrol na Gesi, Wizara ya Nishati. Kabla ya kuteuliwa, Minja alikuwa Mkurugenzi Mkuu TIPPER

Vilevile, Rais amemteua Felschemi Mramba kuwa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu

=====

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amewahamisha Watumishi Waandamizi watano kutoka TANESCO kwenda Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambapo watapangiwa majukumu mengine

Waliohamishwa ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji, Khalid James; Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Masoko, Mhandisi Raymond Seya na Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usafirishaji, Mhandisi Isaac Chanje

Wengine ni Nyelu Mwamaja (Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi) na Amos Ndegi (Mwanasheria wa TANESCO)

View attachment 1952485

View attachment 1952487

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
yaaani inshu ya REA IMEKUWA SHIDA SANA ASE
 
Back
Top Bottom