Uko sahihi.Hiyo kwa mujibu wa akili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.Hiyo kwa mujibu wa akili yako
Basi chukua wewe nagasi yakeWameula vp ukiwa tanesco ni upuuzi mtupu hawezi onesha ubora wake ndani ya uozo wa tanesco
Sisi waswahili tunasema mazoweya mabaya sanaAcheni nongwa za kipuuzi hizo. Wanapopewa vyeo wakristo huwa mnakaa kimya kabisa.
Ina maana hao waislam uwezo hawana ila wanabebwa na kanzu zao?. Acheni mawazo ya kishamba hayo.
Tanzania is slowly being transformed into an Islamic state.M/kiti wa bodi Ya Tanesco Ni Muislam
DG Wa Tanesco pia ni Muislam
DG Wa Rea Ni Muislam Pia
Ts Islamic State
Bakwata Wanaupiga Mwingi Sana
Nagasi ama nanasiBasi chukua wewe nagasi yake
HovyooooKateua wengi based kanda ya ziwa hata waliokuwa less qualified and no one questioned about it, so sioni shida kulaumu teuzi hizi mpya
Wachaga walijengewa mentality kwamba lazima wawe viongozi kwenye idara mbalimbali za serikali. Wakakutana na Magufuli anayewajua vyema walivyo vibaka, akawapiga pini la hatariNani alikua less qualifued wakati Magu alikua anateua maprofesa tu, ama na hao ni less qualifued?
Hii ya kusema Magufuli aliteua wote kanda ya ziwa ni uongo pia. Magufuli anawwza kusemwa kwa mambo mengine mabaya ila sio ya ukabila. Hii ni kampeni ilianzishwa na watu wa kaskazini hasa wachaga kumchafua Magufuli ila haikua kweli.
Kingai ni Msukuma ?Kuna ubaya gani Kama kazi wanafanya na hawatuteki?
Mbona Magu alijaza wasukuma wakawa wanatuteka na kutulazimisha tuwaabudu?
Mkristo akiwa na roho mbaya ana tofauti gani na Muslims mwenye roho mbaya?
Hii aphaNagasi ama nanasi
Ameiweka wapi Iyo nanasi/nagasi nichukue
Whaaaaat!Hovyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23]hili tukio limenichosha Hadi kuhutubia UN Napo mapokezi ila sio mbaya kumtia moyo our chief Hangaya kajitoa haswa jiwe alikimbiaga kwenda huko nje so kongole kwakeKwenye kusifiwa na kuabudiwa huyu nae anapenda sana
Si uliona tukio la leo alivyokuwa akifurahi kuabudiwa na kupewa sifa za uongo. Eti hotuba ya kihistoria
Hakuna nafuu yoyote kwa Hawa watu. Subiri baada ya mwaka utaelewa.[emoji23][emoji23][emoji23]hili tukio limenichosha Hadi kuhutubia UN Napo mapokezi ila sio mbaya kumtia moyo our chief Hangaya kajitoa haswa jiwe alikimbiaga kwenda huko nje so kongole kwake
Watu walipiga kelele sana. Unadhania “Sukuma gang” limeanzia wapi?!Kateua wengi based kanda ya ziwa hata waliokuwa less qualified and no one questioned about it, so sioni shida kulaumu teuzi hizi mpya
Magufuli hakuwa na chuki na watu bali utendaji wabovu na wala rushwaSubira huvuta kheri. Hatimaye Mungu amemsemea Mhandisi Mramba. Hapa ndipo unapoamini System inafanya kazi yake. Mramba in Mwadilifu LAKINI aliondolewa kwa sababu.......
Mgao unakuja soon😂😂😂Hawa watu Wengi Magufuli aliwapiga Haieleweki sababu ingawa pia wengine walionewa cha msingi tu wasituharibie Tukaanza Mgao.
Makamba ni balaa anakuchekea huku anakuuma.
Ila mimi nina chuki na Samia ile mbaya natamani hata Hamza angempiga yeye shaba,amefanya maisha kuwa magumu zaidi na hakuna hope tena,bora Magufuli mara 100Mimi heri Samia mara elfu kuliko magufuli bana tulikuwa tunaishi kwa hofu mda wote full mauonevu aaargh, Bora maustaadhi huwa hawaonei mtu vibaya atleast huwa wako fair, hawapendi kusifiwa wala kuabudiwa aisee
Uchagga wake ulimponza kwa KayafaSubira huvuta kheri. Hatimaye Mungu amemsemea Mhandisi Mramba. Hapa ndipo unapoamini System inafanya kazi yake. Mramba in Mwadilifu LAKINI aliondolewa kwa sababu.......