Mbona amebalance mawazo yake, kwamba tuwe na uwiano wa 50/50 ili asiwepo wa kupenyeza udini na ukabila.
Hili litasaidia kuondoa visasi ambavyo ni hatari siku zijazo
Haitowezekana kubalance ndugu yangu.
Hatuangalii kubalance tunaangalia uwezo. Kwa hali ilivyo Mama akisema abalance basi ndio kelele zitazidi maana ili Mheshimiwa rais aweze ku-balance itabidi ateue Waislam zaidi na zaidi na zaidi maana ni wachache serikalini. Kwa mfano:-
TANZANIAN CABINET UNDER PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN
(1) Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan- The president -
MUSLIM
(2) Dkt. Philip Mpango- Makamo wa Rais-
CHRISTIAN
(3) Mh. Kassim Majaliwa- Waziri Mkuu-
MUSLIM
(4) Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi- President of Zanzibar-
MUSLIM
(5) Mh. January Makamba- Nishati-
MUSLIM
(6) Dkt. Ashatu Kijaji- Habari na mawasiliano-
MUSLIM
(7) Mh. Jumaa Aweso- Maji-
MUSLIM
(8) Mh. Makame Mbarawa- Usafirishaji-
MUSLIM
(9) Mh. Mudrick Soragha- OR- Uchumi na Uwekezaji-
MUSLIM
(10) Mh. Suleiman Jafo- OR- Muungano na Mazingira-
MUSLIM
(11) Mh. Ummy Mwalimu- OR- TAMISEMI-
MUSLIM
(12) Mh. Adolf Mkenda- Kilimo na Mifugo-
CHRISTIAN
(13) Mh. Innocent Bushongwa- Sanaa, Utamaduni na Michezo-
CHRISTIAN
(14) Mh. Palamagamba Kabudi- Katiba na Sheria-
CHRISTIAN
(15) Mh. Stergomena Tax- Ulinzi na JKT-
CHRISTIAN
(16) Mh. Joyce Ndalichako- Elimu-
CHRISTIAN
(17) Mh. Mwigulu Nchemba- Fedha na Mipango-
CHRISTIAN
(18) Mh. Libearat Mulamula- Mambo ya nje-
CHRISTIAN
(19) Mh. Dorothy Gwajima- Afya-
CHRISTIAN
(20) Mh. Kitila Mkumbo- Viwanda na Biashara-
CHRISTIAN
(21) Mh. William Lukuvi- Ardhi-
CHRISTIAN (tena Mdini balaa)
(22) Mh. Mashimba Ndaki- Ufugaji na Uvuvi-
CHRISTIAN
(23) Mh. Dotto Biteko- Madini-
CHRISTIAN
(24) Mh. Damas Ndumbaro- Maliasili na Utalii-
CHRISTIAN
(25) Mh. George Simbachawene- Mambo ya Ndani-
CHRISTIAN
(26) Mh. George Mkuchika- OR Utumishi wa Umma na utawala bora-
CHRISTIAN
(27) Mh. Jenister Mhagama- OWM Sera, bunge, kazi, vijana na walemavu-
CHRISTIAN
Sasa hilo ni CABINET lenye member 27, 10 tu ndio Waislam hapo. Kwahiyo kama tunataka mama abalance itabidi wanne wakristo wapigwe na chini halafu nafasi zao zijazwe na waislam watatu na mpagani (asie na dini) mmoja) ili uwakilishi wa hizi dini uwe sawasawa.
Ndugu zetu Wakristo (sio wote) acheni chuki dhidi ya Uislam na waislam.