Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Nani alikua less qualifued wakati Magu alikua anateua maprofesa tu, ama na hao ni less qualifued?

Hii ya kusema Magufuli aliteua wote kanda ya ziwa ni uongo pia. Magufuli anawwza kusemwa kwa mambo mengine mabaya ila sio ya ukabila. Hii ni kampeni ilianzishwa na watu wa kaskazini hasa wachaga kumchafua Magufuli ila haikua kweli.
Acha uwongo magufuli uteuzi wake vigezo vilikua ni viwili tu ukatoliki au unatokea kanda ya ziwa. Sasa mmebanwa upande wa pili mnaona inauma pumbavuu .
 
Mbona amebalance mawazo yake, kwamba tuwe na uwiano wa 50/50 ili asiwepo wa kupenyeza udini na ukabila.
Hili litasaidia kuondoa visasi ambavyo ni hatari siku zijazo
Haitowezekana kubalance ndugu yangu.

Hatuangalii kubalance tunaangalia uwezo. Kwa hali ilivyo Mama akisema abalance basi ndio kelele zitazidi maana ili Mheshimiwa rais aweze ku-balance itabidi ateue Waislam zaidi na zaidi na zaidi maana ni wachache serikalini. Kwa mfano:-

TANZANIAN CABINET UNDER PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN

(1) Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan- The president -MUSLIM
(2) Dkt. Philip Mpango- Makamo wa Rais- CHRISTIAN
(3) Mh. Kassim Majaliwa- Waziri Mkuu- MUSLIM
(4) Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi- President of Zanzibar- MUSLIM
(5) Mh. January Makamba- Nishati- MUSLIM
(6) Dkt. Ashatu Kijaji- Habari na mawasiliano- MUSLIM
(7) Mh. Jumaa Aweso- Maji- MUSLIM
(8) Mh. Makame Mbarawa- Usafirishaji- MUSLIM
(9) Mh. Mudrick Soragha- OR- Uchumi na Uwekezaji- MUSLIM
(10) Mh. Suleiman Jafo- OR- Muungano na Mazingira- MUSLIM
(11) Mh. Ummy Mwalimu- OR- TAMISEMI- MUSLIM
(12) Mh. Adolf Mkenda- Kilimo na Mifugo- CHRISTIAN
(13) Mh. Innocent Bushongwa- Sanaa, Utamaduni na Michezo- CHRISTIAN
(14) Mh. Palamagamba Kabudi- Katiba na Sheria- CHRISTIAN
(15) Mh. Stergomena Tax- Ulinzi na JKT- CHRISTIAN
(16) Mh. Joyce Ndalichako- Elimu- CHRISTIAN
(17) Mh. Mwigulu Nchemba- Fedha na Mipango- CHRISTIAN
(18) Mh. Libearat Mulamula- Mambo ya nje- CHRISTIAN
(19) Mh. Dorothy Gwajima- Afya- CHRISTIAN
(20) Mh. Kitila Mkumbo- Viwanda na Biashara- CHRISTIAN
(21) Mh. William Lukuvi- Ardhi- CHRISTIAN (tena Mdini balaa)
(22) Mh. Mashimba Ndaki- Ufugaji na Uvuvi- CHRISTIAN
(23) Mh. Dotto Biteko- Madini- CHRISTIAN
(24) Mh. Damas Ndumbaro- Maliasili na Utalii- CHRISTIAN
(25) Mh. George Simbachawene- Mambo ya Ndani- CHRISTIAN
(26) Mh. George Mkuchika- OR Utumishi wa Umma na utawala bora- CHRISTIAN
(27) Mh. Jenister Mhagama- OWM Sera, bunge, kazi, vijana na walemavu- CHRISTIAN

Sasa hilo ni CABINET lenye member 27, 10 tu ndio Waislam hapo. Kwahiyo kama tunataka mama abalance itabidi wanne wakristo wapigwe na chini halafu nafasi zao zijazwe na waislam watatu na mpagani (asie na dini) mmoja) ili uwakilishi wa hizi dini uwe sawasawa.

Ndugu zetu Wakristo (sio wote) acheni chuki dhidi ya Uislam na waislam.
 
Mkuu unakosea sana kuita watu makafiri kwa ajili ya mchangiaji mmoja au wawili! Mimi ni mKristo lakini yeyote anayechaguliwa hainisumbui tena to be precisely waislamu wamefanya vema kuliko wakristo.

Magufuli alikuwa mbaguzi wa kikanda na mdini,hakukuwa na aliyepiga kelele. Speech zake alitolea kanisani haikuwa sawa kabisa. Hawa wanao ona Samia ni mdini let them be, Samia kwenye udini hajafika hata robo ya Magufuli BTW kila mtu angekuwa kny hiyo nafasi tungeyasikia hayo.

Tuache mihemko ya kidini, acha kuita watu makafiri wewe pia unachochea chuki ya udini.
Samahani mkuu.

Samahani sana.
 
Hii mijadala ya kidini ni very primitive na ina kera sana! Mwalimu Nyerere slisingiziwa kujaza Wakatoliki ktk cabinet. Kumbe Mkatoliki alikuwa ni Sir Kahama na yeye mwenyewe Rais.

Kaja mzee Mwinyi upuuzi huu ukaendelea, kaja Mzee Mkapa wajima na wajinga wakaendeleza upuuzi huu. Kwa Mzee Kikwete na Magufuli tena. Sasa ni kwa Rais Samia. Tuache huu upuuzi una kera sana. Tunaacha kujadili merits za kielimu tunajadili John na Abdallah.
Well said mkuu
 
M/kiti wa bodi Ya Tanesco Ni Muislam
DG Wa Tanesco pia ni Muislam
DG Wa Rea Ni Muislam Pia

Ts Islamic State

Bakwata Wanaupiga Mwingi Sana
Usisahau kutupa list ya wabunge vile vile wangapi Waislamu na wangapi Wakristo tutajua kama ni Islamic state .
 
Haitowezekana kubalance ndugu yangu.

Hatuangalii kubalance tunaangalia uwezo. Kwa hali ilivyo Mama akisema abalance basi ndio kelele zitazidi maana ili Mheshimiwa rais aweze ku-balance itabidi ateue Waislam zaidi na zaidi na zaidi maana ni wachache serikalini. Kwa mfano:-

TANZANIAN CABINET UNDER PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN

(1) Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan- The president -MUSLIM
(2) Dkt. Philip Mpango- Makamo wa Rais- CHRISTIAN
(3) Mh. Kassim Majaliwa- Waziri Mkuu- MUSLIM
(4) Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi- President of Zanzibar- MUSLIM
(5) Mh. January Makamba- Nishati- MUSLIM
(6) Dkt. Ashatu Kijaji- Habari na mawasiliano- MUSLIM
(7) Mh. Jumaa Aweso- Maji- MUSLIM
(8) Mh. Makame Mbarawa- Usafirishaji- MUSLIM
(9) Mh. Mudrick Soragha- OR- Uchumi na Uwekezaji- MUSLIM
(10) Mh. Suleiman Jafo- OR- Muungano na Mazingira- MUSLIM
(11) Mh. Ummy Mwalimu- OR- TAMISEMI- MUSLIM
(12) Mh. Adolf Mkenda- Kilimo na Mifugo- CHRISTIAN
(13) Mh. Innocent Bushongwa- Sanaa, Utamaduni na Michezo- CHRISTIAN
(14) Mh. Palamagamba Kabudi- Katiba na Sheria- CHRISTIAN
(15) Mh. Stergomena Tax- Ulinzi na JKT- CHRISTIAN
(16) Mh. Joyce Ndalichako- Elimu- CHRISTIAN
(17) Mh. Mwigulu Nchemba- Fedha na Mipango- CHRISTIAN
(18) Mh. Libearat Mulamula- Mambo ya nje- CHRISTIAN
(19) Mh. Dorothy Gwajima- Afya- CHRISTIAN
(20) Mh. Kitila Mkumbo- Viwanda na Biashara- CHRISTIAN
(21) Mh. William Lukuvi- Ardhi- CHRISTIAN (tena Mdini balaa)
(22) Mh. Mashimba Ndaki- Ufugaji na Uvuvi- CHRISTIAN
(23) Mh. Dotto Biteko- Madini- CHRISTIAN
(24) Mh. Damas Ndumbaro- Maliasili na Utalii- CHRISTIAN
(25) Mh. George Simbachawene- Mambo ya Ndani- CHRISTIAN
(26) Mh. George Mkuchika- OR Utumishi wa Umma na utawala bora- CHRISTIAN
(27) Mh. Jenister Mhagama- OWM Sera, bunge, kazi, vijana na walemavu- CHRISTIAN

Sasa hilo ni CABINET lenye member 27, 10 tu ndio Waislam hapo. Kwahiyo kama tunataka mama abalance itabidi wanne wakristo wapigwe na chini halafu nafasi zao zijazwe na waislam watatu na mpagani (asie na dini) mmoja) ili uwakilishi wa hizi dini uwe sawasawa.

Ndugu zetu Wakristo (sio wote) acheni chuki dhidi ya Uislam na waislam.
Umetoa mfano mzuri sana kama wana akili wataelewa.
 
Duh...!
 
Ndio hivyo mkuu, sasa hapo tafuta manaibu waziri ndio utashangaa na makatibu wakuu.

Ngoja nitaifanya hiyo kazi
hapana ndio silka ya mwanadamu akizoea kupata 80 kwa 20 siku ukimpa hata 60 kwa 40 bado ataona unamnyanyasa kikubwa ni kuepuka kujitoa ufahamu na ushabiki na kuzingatia busara kabla mtu hajatoa hoja aangalie ukweli upoje...inasikitisha sana baadhi ya hoja zilizoletwa na watu hazikuzingatia hayo,kweli ushabiki na mahaba ni "addiction" mbaya sana
 
Acha uwongo magufuli uteuzi wake vigezo vilikua ni viwili tu ukatoliki au unatokea kanda ya ziwa. Sasa mmebanwa upande wa pili mnaona inauma pumbavuu .
Hata kama ni upande wa pili basi tuletewe na Mtanganyika mwenzetu na sio mtu kutoka nchi nyingine.
 
Kama kampuni ni binafsi nani wa kuingilia mambo yao ya ndani?
Mbona huulizi KCB,AKIBA COMMERCIAL, MKOMBOZI, DCB.
Watu wataajiri kwa namna wanavyoona na kwa maslahi ya mtu na taasisi syo na UMMA
Mpuuzi wewe, huna hoja ya msingi.
 
Hii mijadala ya kidini ni very primitive na ina kera sana! Mwalimu Nyerere slisingiziwa kujaza Wakatoliki ktk cabinet. Kumbe Mkatoliki alikuwa ni Sir Kahama na yeye mwenyewe Rais.

Kaja mzee Mwinyi upuuzi huu ukaendelea, kaja Mzee Mkapa wajima na wajinga wakaendeleza upuuzi huu. Kwa Mzee Kikwete na Magufuli tena. Sasa ni kwa Rais Samia. Tuache huu upuuzi una kera sana. Tunaacha kujadili merits za kielimu tunajadili John na Abdallah.
Wakoloni na waarabu walifanikiwa sana kupandikiza hizi dini za Majahazi kwenye vichwa vya wapuuzi wa Tanzania
 
Bado hiyo siyo 'solution'. Kama watahitaji Tanesco iwe vizuri ni kufumua kila mtu kuanza upya. Simaanishi wafutwe kazi ila ile dhana ya 'kujuana' sana iondolowe. 'Imagine' unafika Tanesco unamkuta mama, baba, mtoto na mjomba wote wameajiriwa Tanesco sasa kazi zitaenda kweli hapo?
 
Back
Top Bottom