Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Samia anapenda haki zipi ?

Ebu acha mara moja matumizi ya maneno mpenda haki mahali palipojaa dhuruma na ushetwani
Anatenda haki kawaachia kina mdude, kawarudishia CDM hela za fine, huo ushetani wake mwingine ni upi?
 
Baada ya kuruka ruka , hatimaye umeingia kwenye nyavu.

Ulikuwa unasubiri nini ku admit kwamba nchi hii nafasi zinatolewa kwa upendeleo na sio kwa vigezo. Na samia ni captain wa the same boat, hence we expect nothin new born from her.
Yani ubaguzi wa jiwe una msingizia mama kweli? Jiwe aliyejenga airport kijijini kwao, maofisi makubwa huko chato sijui hospital ya kanda Crdb yet unasema Samia anapendelea mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hafu why uone upendeleo Leo wakati kinara anajulikana?
 
kupumbazana tu ,Tunataka KATIBA mpya na TUME huru ya UCHAGUZI ,hawa wote wanapokea mishahara haramu ,wataenda kujibu huko wanakoelekea ,karibuni tu ,wataanza kumueleza malaika wa kaburini ilikuwaje .
Nahisi salama yao ni kutubu na kutubu watuwekee Tume huru ya uchaguzi ii tuchaguwe wenyewe wa kutumaliza,itakuwa halaumiwi mtu.
 
Yani ubaguzi wa jiwe una msingizia mama kweli? Jiwe aliyejenga airport kijijini kwao, maofisi makubwa huko chato sijui hospital ya kanda Crdb yet unasema Samia anapendelea mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hafu why uone upendeleo Leo wakati kinara anajulikana?
Mama yenu ndio kwanza ana miezi kadhaa kwenye ofisi lakini kila kukicha anajaza waislamu wenzake. Akimaliza miaka miwili nchi itatangazwa rasmi kuwa ya kislamu
 
Mama yenu ndio kwanza ana miezi kadhaa kwenye ofisi lakini kila kukicha anajaza waislamu wenzake. Akimaliza miaka miwili nchi itatangazwa rasmi kuwa ya kislamu
Si kweli Mimi sio muislamu ila tukiweka ratio sawa wakristo Wana nafasi nyingi na kubwa kuliko hao waislamu
 
Si kweli Mimi sio muislamu ila tukiweka ratio sawa wakristo Wana nafasi nyingi na kubwa kuliko hao waislamu
Lete data kama hutojali.

Tafiti zinaonesha maeneo yenye wakurugenzi wengi waislamu basi hata watendaji wa chini yake wengi ni waislam wenzake unlike wakurugenzi wakristo wakatoliki.
 
Niambie ni lini Tanzania iliwahi kuwa na makamu wa rais ambaye ni dini moja na rais aliyepo madarakani?
Kipindi cha Kikwete. Tafuta Historia ya Shein!!

Narudia haya mambo ya huyu ni dini gani. Kwangu sio tatizo!!
 
Back
Top Bottom