Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Wachaga hawana habari za kusubiri teuzi,kusubiri teuzi ni uvivu huo
Watu wanapiga maisha kwenye angle zingine na wana make tu πŸ˜ŠπŸ˜€

Wasukuma nao wamekua wahanga kama wachaga tu.huyu mama anawachomoa mmoja mmoja tu

Hahaha , …
 
Lakini si bora nyerere licha ya ukali hakuacha mabepari wazidi kunemeka kuliko masikini,,
Jpm alifanya kazi nzuri sana kuhakikisha wizi nchini unapotea,,
Uongozi unataka mtu mkali, mambo ya kubembelezana hayatakiwi
Hapana bana hatutaki ukali tunataka kubembelezwa shekhe πŸ˜…hili nalo mkalitazame ,then tunaagiza gahawa na halua πŸƒ
 
Ni sawa nakubali ni zamu ya ndugu zetu katika imaan,tutakuwa tunakutana masjid kujadil progress za wizara zetuπŸ˜…πŸ˜…πŸ€”
alaf Sasa hao waliokua huko juu wote ndugu moja matajiri wenye conection zao tangu na tangu awe mkirsto au muislam na wanajuana,wewe na Mimi huku chini hatuna chetu..sio vitu vya kukaza vichwa kwa wenye tafakuri.
 
Hahaha Wasukuma kama Wachaga tu sijaona Mchaga hata mmoja popote, angalau Wasukuma bado bado masalia yapo, ila Wachaga duh labda tusubiri Kimei kwa maana ana bidii sana huenda next time watamkumbuka, …
Wachaga wamejaa sana kwenye hii serikali katika level za exparte
 
Hapana bana hatutaki ukali tunataka kubembelezwa shekhe πŸ˜…hili nalo mkalitazame ,then tunaagiza gahawa na halua πŸƒ
Ukali unasaidia sana, bila ukali unadhani nyerere angeweza kutaifisha yale majumba ya mabepari mwaka 1967?,
Au jpm angeweza kumnyoosha manji na mabepari wenzake kina Rugem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…