Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Kama kasoma shida ipo wapi tatizo watu mkiwafahamu walikotokea wanapopata mafanikio mnaumia sana mnaona bora apate usiemjua ili uwe na Amani...
Acha kukaza fuvu ndugu, hii wizara imekuwa na mambo mengi .. kuwa mama wa nyumbani unajua kupika sio kwamba unaeza fungua hostel ukaanza pika chakula cha watu mia. Ngoja tusubiri utendaji kazi wake
 
Wivu unawapelekea watu waanze Mara udini Mara ujinga gani....sijwahi Ku consider dini ya mtu kwenye issue za serikali ila kuna watu akipewa Emanuel kama rais nae anaitwa john utaskia udini au rais ni muislam akiteuliwa Mohammed utasikia udini sasa mlitaka wawateue wahindu wakati taifa lina waislam na wakristo?
 
Nimeangalia hata mtakatibu wakuu sijaona hata mmoja mwenye background ya ufugaji.

Hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo jamii ya wafugaji nchini ina wasomi wengi sana wanaoweza kuendesha wizara hii bila mawaa.

Inawezekanaje wizara nzima tunaletewa watu wenye background ya kilimo cha nazi, maparachichi na tangawizi ??

Aah this is not fair wafugaji tunahitaji waziri au katibu mkuu walau anayezifahamu changamoto zetu ambaye atakuwa na uwezo wa kuchochea ufugaji kuwa sekta ya uzalishaji.
 
Acha kukaza fuvu ndugu, hii wizara imekuwa na mambo mengi .. kuwa mama wa nyumbani unajua kupika sio kwamba unaeza fungua hostel ukaanza pika chakula cha watu mia. Ngoja tusubiri utendaji kazi wake
Mkuu mtu yeyote aliepita chuo anaweza kufanya kitu chochote akipewa nafasi labda huyo mtu awe kilaza msitake kuyafanya maisha ni magumu mno mbona vilaza wengi tuu na wapo kwenye Wizara hizo kila kukicha mambo yale yale...
 
we naye ni mjinga kama wajinga wengine tu.

kwa hio Watanzania wote 100% tuwe wakulima ?
Kama sio mkulima tafuta hela ya kununua bidhaa kihalali sio kudhulumu wakulima Mjinga na mpumbavu ni wewe unaetegemea vya bure
 
Jokate ni DC Bora? Kwa kuonekana sana kwenye TV? Au huo ubora umeupima kwenye nn?
Dada ni mtendaji mzuri na anajitahidi sana, alipambana sana mpaka kuwajengea watoto wa kike secondary huko Kisarawe.
 
Kama sio mkulima tafuta hela ya kununua bidhaa kihalali sio kudhulumu wakulima Mjinga na mpumbavu ni wewe unaetegemea vya bure
wewe inaonekana ni mtoto wa mama bado unakula nyumbani so kubishana na wewe ni kupoteza muda maana unaona bei za vyakula zikishuka wakulima wanadhurumiwa
 
Back
Top Bottom