Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Mwaka 2025 kama Watanzania wanajitambua atapanguliwa yeye,na kama uchaguzi utafanyika Kwa katiba hii hii baaaaaaasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaa, sisemi kitu mie.
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?

Mtoto wa Rais mstaafu hawezi kufanya ujinga huo kwakuwa hiyo nafasi hahitaji kugombania bali ikipigwa simu moja tu atachagua nafasi aitakayo kwenye baraza.

Yule anabadilishwa kwa lengo la kuwa waziri kamili wala hahitaji hizo fitna unazosema.

Fitna wanafanya watoto wa masikini waliobahatika kupata vyeo ili waaminiwe zaidi.
Nakubaliiiiii.
 
Yule alikuwa small house,hata mi ningefanya vile,badala ya kumpa hela ya natumizi unampa cheo alipwe kwa kodi za akina @ victoire
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siwezi kukuhoji kila mmoja ana haki ya kutoa maoni bila kuulizwa. Suala la kuelewa maoni yako ni letu. Ungetaka tuelewe kama upendavyo usingeandika maneno yenye utata.
Hujaelewa pekee yako, wengine walielewa ndo maana hawakusumbuka kuniuliza uliza.

Comment yangu ikikuzidi uwezo wa kuichanganua.
 
Uwezo mdogo sana
Unautafsiri uwezo mdogo katika maswala yapi na nyanja zipi pamoja na vitendo vipi?! Wewe unamfahamu Ridhwaan vizuri kwa karibu na umewahi kubahatika kufanya naye kazi?! Au hata kuonana naye mkazungumza kisha ukamu-observe na ukagundua uwezo wake ni mdogo?!
 
Hii nchi,imelogwa ikalogeka kuliko alivyotaka mchawi,
Unamfukuza William lukuvi wizara ya ardhi,unamuweka Mwanafa kwenye baraza la mawaziri,
System ilisema Nehemiah mchechu ni mchafu,sasa hv amepelekwa hazina kabisa.
Mwana FA kapelewa Wizara anayoijua vema. Ulitaka wizara inayohusika na sanaa na michezo awekwe Gwajima!!!??

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Unautafsiri uwezo mdogo katika maswala yapi na nyanja zipi pamoja na vitendo vipi?! Wewe unamfahamu Ridhwaan vizuri kwa karibu na umewahi kubahatika kufanya naye kazi?! Au hata kuonana naye mkazungumza kisha ukamu-observe na ukagundua uwezo wake ni mdogo?!
Ndio
 
Akikujibu ni tag mwamba

Naona umempiga maswali ta papo kwa papo

Ova
 
Hakika ni msomi mbobezi, ana degree ya IFM,Pia masters ya uingereza - Coventry. Yuko vyedi
Certificate ya Information Technology
Diploma ya Insurance
Masters

Kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma Masters???
 
Back
Top Bottom