Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Babu Tale ana PhD ambayo ni daktari wa Falsafa.
Na huyu mwana FA ni mwana Falsafa.
Kwa hiyo ulaji uko kwenye falsafa.
Na huyu mwana FA ni mwana Falsafa.
Kwa hiyo ulaji uko kwenye falsafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha majina kufanana tu mkuu usikute ni soulmate ila nimeshindwa kumjua
Hivi University of England iko wapi naomba elimu??Babu Tale ana PhD ambayo ni daktari wa Falsafa.
Na huyu mwana FA ni mwana Falsafa.
Kwa hiyo ulaji uko kwenye falsafa.
Jokate ni DC Bora? Kwa kuonekana sana kwenye TV? Au huo ubora umeupima kwenye nn?Jokate ni DC bora na mchapakazi
Hahahahaha Yani huyu Rais wa mawe aongoze nchi!??? Mimi nitakupa Papa wa romaSawa,lakini baada ya SSH,,, Rais ajae ni central corridor,, Mwigulu lameck Nchemba,,
Ulega amebebwa na udini na ukanda wala hakuna loloteUchawi upo,pole Mashimba.Naibu waziri wako aliitaka sana nafasi yako hatimae kaipata. Ni kama Ridhiwan alivyokuwa anaitaka nafasi ya Angela Mabula.
we naye ni mjinga kama wajinga wengine tu.Acha uvivu wewe kama mchele gali nenda kalime au mnataka muambiwe makalimie meno??
Kajibu bana... huyu jamaa kweli CHIZIAkikujibu ni tag mwamba
Naona umempiga maswali ta papo kwa papo
Ova
Acha kuchafua watu kwa chuki binafsi na za kuiga. Adui harithiwi... humjui Ridhwaan wala huna hadhi ya kumjua na kuzungumza nae. Acha maneno ya kuambiwa. FANYA KAZI KWA FAIDA BINAFSI NA MANUFAA YA FAMILIA NA NCHI.Ndio
Unaijua ADVANCED DIPLOMA?!Certificate ya Information Technology
Diploma ya Insurance
Masters
Kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma Masters???
Nyota tu na kukubalika na watu. Waganga wao wakali bana 😂🙌🏾Jokate ni DC Bora? Kwa kuonekana sana kwenye TV? Au huo ubora umeupima kwenye nn?
Atahamia Zimbabwe 😅😅😅Ipo siku huyo atakuwa mtawala wako
Ohooo
Ova
Udini na ukaribu na familia ya Kikwete umembeba huyu hakuna la maanaView attachment 2531654
Mama ntile wengi ni masingle mother.... kwahiyo msosi anaoupika mke wako nyumbani ukimwambia afungue mgahawa unaweza kusema wewe ndo mke wangu au kapika nani hichi chakula.
Ngoja niishie hapo.
Serious... Sema fresh ila Tanzania wanaichukulia poa sanaa ila imetubeba sana wanatuekea watu wa ovyo kila sikuUdini na ukaribu na familia ya Kikwete umembeba huyu hakuna la maana
USSR