Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

O level kasoma Tanga Secondary
A level kasoma Kinondoni Musilim
Kasoma Certificate ya Info Tech IFM
Kasoma Diploma ya Insurance IFM
Kasoma Masters Coventry UK

Twende kazi sasa! Na alifikaje Masters bila yakua na Advanced Dip, Post Graduate au Bachelor???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huna lolote unalojua we ndo hao hao wa majungu. Nimeamua kukupuuza.
 
Huna lolote unalojua we ndo hao hao wa majungu. Nimeamua kukupuuza.
Huna akili! Nimekupa kila kitu, then unasema nina majungu???

Aliyesoma Tech ni AY, alisoma Ifunda Tech!

Acha ushamba wakushoboka na mambo usiyoyajua!

Kama ni msomi kipi kilimfanya aanze na Cheti?? Kipi kilimfanya atoke Diploma hadi Master's?? Au hafa hajui sifa zakuzoma Masters???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali mheshimiwa rais,
Mrudishe Baraza La Mitihani(NECTA),Dr.Charles E.Msonde.
Hii ni kwa maslahi ya Taifa letu.
Naipenda Tanzania.
Huko changamoto zake ni ngumu maana kuna magenge yanaconnection za marking kila mwaka, na wanatoa tu chochote
Wabadili mfumo
 
Kinacho fuata ni kubadilisha Wakurugenzi wote Hospitali za Rufaa za mikoa.Walikuwa Bado wapo na tabia za TAMISEMI.Asipo fanya hivyo watampoteza Mama kwani huko ndiko Sisi Wananchi wengi tunapata huduma.
 
Mawazo yako yamekaa ki monster 💀😡💀 kama jina lako 😎😎🤓🤓🤓🤓🌝🌝🌝

Tuendelee kulijenga taifaa

Huo ni mtazamo wako kwa jinsi upeo wako na resources ulizonazo vinapoishia, hawa wanaofanya vetting plus 'referees' wao wanaowabeba kwenye mbeleko upeo wao na resources walizonazo vinawapa majibu tofauti
 
Huna akili! Nimekupa kila kitu, then unasema nina majungu???

Aliyesoma Tech ni AY, alisoma Ifunda Tech!

Acha ushamba wakushoboka na mambo usiyoyajua!

Kama ni msomi kipi kilimfanya aanze na Cheti?? Kipi kilimfanya atoke Diploma hadi Master's?? Au hafa hajui sifa zakuzoma Masters???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huna lolote zaidi ya wivu. Pole sana
 
Ulitakiwa unihoji kwann niliandika vile, wee ukakurupuka eti jamaa ana uwezo. Kwan nlisema hana uwezo??

Sijasema kuumizwa mie, hilo ni lako.
Siwezi kukuhoji kila mmoja ana haki ya kutoa maoni bila kuulizwa. Suala la kuelewa maoni yako ni letu. Ungetaka tuelewe kama upendavyo usingeandika maneno yenye utata.
 
Huna lolote zaidi ya wivu. Pole sana
Ndiyo nina wivu! Leta na wewe basi hizo data ambazo hazina wivu!

Yaani nimuonee wivu Hamis?? Aliyetoka huko kwao Handeni Tanga akakosa pakufikia dsm,akawa analala kwao GK?? Hebu acha basi ujinga! Hamis ananizidi cheo cha Naibu Waziri tu, mengine nikijana wangu sana tu! Mwambie aache kulamba miguu ya Msoga Family na GSM!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo nina wivu! Leta na wewe basi hizo data ambazo hazina wivu!

Yaani nimuonee wivu Hamis?? Aliyetoka huko kwao Handeni Tanga akakosa pakufikia dsm,akawa analala kwao GK?? Hebu acha basi ujinga! Hamis ananizidi cheo cha Naibu Waziri tu, mengine nikijana wangu sana tu! Mwambie aache kulamba miguu ya Msoga Family na GSM!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hawezi acha lamba viatu ndo wanamweka mjini,yule ni chawa promax😅😅
 
Makamba, pinda, Riziwan, Nchengerwa(japo yuko sawa) hao wote ni wakupewa hata wavurunde vp hawawezi kuondolewa
Nilitaka nithibitishiwe uvurundaji wao,au ukiwa na nasaba na kiongozi wa zamani hutakiwi kuwa kiongozi hata Kama una sifa!?
 
Mawaziri wako bize hawana muda na familia zao. Msikae mbali na familia zao kusaidia kazi ndogondogo kama kuhamisha kabati, kubadilisha taa, kuchanja mbwa wao n.k
 
Back
Top Bottom