Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Michezo / Sanaa; ulitaka labda achaguliwe nani ?!!!!

Kwa hii nchi zaidi ya ku-keep the appearances unadhani Waziri anafanya nini cha zaidi ?

Ndio hivyo watu wa Sanaa kulalamika kila siku hampewi platform ndio hivyo mwenzenu amekwenda huko kufanya mambo....,
 
Very interesting!

Hivi mteuzi anayo 'background' gani ya kutaka kumtegemea awe tofauti na anayofanya?

Mbona tunajisahaulisha haraka kiasi hiki? Mara hii tunamwona na kumtegemea mteuzi awe ni tofauti sana na hao anaowateua?
Mkuu watanzania huwa tunashangaza. Hatujui hasa tatizo letu ni nini. Na tukiambiwa mara kesho tumelisahau. Bila wananchi wote kuzinduka na kuliondoa tatizo hakuna namna. Nchi inazidi kudidimia.
 
Nimefanya nae kazi ninamjua vyema...uchaguzi wa 2015 ilibidi CCM wapambane kwa wakurugenzi...mcha Mungu asiye na mawaa, uchaguzi ule angekua ni Mahera Lowassa asingepata hata kura laki 5.

Samia kuna maeneo amedhamiria kuleta haki....
sidhani kama anaweza kutenda haki
 
Back
Top Bottom