Kabisa mkuu, bado uteuzi unafanyika maeneo ya Ghuba huko...mkeka bado unasoma DOHA
Hatimaye nimelamba Uteuzi 😁😁Rais Samia ameteua na kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA).
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Sixtus Raphael Mapunda kutoka Wilaya ya Sumbawanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akichukua nafasi ya Mobhare Holmes Matinyi ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Rais Samia pia amemhamisha kituo cha kazi Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Kenan Laban Kihongosi kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe akichukua nafasi ya Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM.
Amemteua pia Elibariki Bajuta, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora akichukua nafasi ya Kihongosi ambaye amehamishiwa Momba.
Amemteua Nyakia Ally Chirukile kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga ambapo akichukua nafasi ya Sixtus Raphael Mapunda aliyehamishiwa Wilaya ya Temeke, kabla ya uteuzi huu Ndugu Nyakia alikuwa Katibu Tawala wa Ngorongoro.
Ngorongoro imefumuliwaRais Samia ameteua na kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA).
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Sixtus Raphael Mapunda kutoka Wilaya ya Sumbawanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akichukua nafasi ya Mobhare Holmes Matinyi ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Rais Samia pia amemhamisha kituo cha kazi Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Kenan Laban Kihongosi kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe akichukua nafasi ya Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM.
Amemteua pia Elibariki Bajuta, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora akichukua nafasi ya Kihongosi ambaye amehamishiwa Momba.
Amemteua Nyakia Ally Chirukile kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga ambapo akichukua nafasi ya Sixtus Raphael Mapunda aliyehamishiwa Wilaya ya Temeke, kabla ya uteuzi huu Ndugu Nyakia alikuwa Katibu Tawala wa Ngorongoro.
Siku hz wanatambulika kama Afisa tarafaHivi cheo hiki huwa kinaitwa 'afisa tarafa au katibu tarafa'?
Kwenye taarifa hii kutoka Ikulu kuna sehemu imetaja 'Afisa tarafa' na sehemu nyingine 'katibu tarafa'.Siku hz wanatambulika kama Afisa tarafa
Hizi ngonjera tumeanza kuzisikia toka kipindi cha Mh Kikwete na album yake ya gesi gesi ..ila tuna matumaini naeKuanzia mwezi wa 3 panapo majaliwa itabaki historia.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwann iwe Kila siku uteuzi hakuna kazi zingineNdio....
Tija inapatikana mno....
"Presidential decree"....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mkuu mm ninchofaham wanatambulika kama afisa tarafa, kuhusu taarifa kuwa katibu tarafa ufafanuzi utaupata ikuluKwenye taarifa hii kutoka Ikulu kuna sehemu imetaja 'Afisa tarafa' na sehemu nyingine 'katibu tarafa'.
Inamaana hata ikulu haielewi umuhimu wa kutambua cheo/nafasi ya Uongozi?
Nadhani wametafsiri toka kwenye Division Officer..Division ndio TarafaHivi cheo hiki huwa kinaitwa 'afisa tarafa au katibu tarafa'?
Sahihi!Nadhani wametafsiri toka kwenye Division Officer..Division ndio Tarafa
Si alisema ataki teuzi alipo panamtoshaHivi kwanini lakini ndg yetu na kipenzi chetu Pascal Mayalla hawampi nafasi ktk teuzi zote hizi?!!
Mkuu Pascal Mayalla uliwafanya nini watu wa system? kwanini wanakunyanyapaa ndg yangu?
Jifunze kuwa chawa. Badilika, jishushe na uchague kujipendekeza na kusifia. Ikiwezekana waone wazee wakutambikie. Halafu waganga nao wana nafasi yao ktk safari yako ya kufukuzia teuzi. Hivyo usiwaache sana.
Inshaalah ipo siku jina litatokelezea tu...
Ngoja wajuzi waje ILA huku kwetu wilayani TANGANYIKA ,tunawaita AFISA TARAFASahihi!
Kwanini kwenye taarifa hii katambuliwa kama katibu tarafa?
Acha kudanganya watu kwasababu ya uchawa wako.Ndio....
Tija inapatikana mno....
"Presidential decree"....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa juhudi zako za huku unastahili sasa sijui kama unaifaa nchi au inafaa maslahi binafsi😆Hatimaye nimelamba Uteuzi 😁😁
Mkuu Kisima , sijawahi kuwafanya kitu chochote, kinachofanyika kwenye vetting, kitu cha kwanza ni kufungua file lako, kitu wanachokutana nacho ni bandiko hili kuwahusu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!, hata ungekuwa wewe, jina kama hili ungeli forward?.Hivi kwanini lakini ndg yetu na kipenzi chetu Pascal Mayalla hawampi nafasi ktk teuzi zote hizi?!!
Mkuu Pascal Mayalla uliwafanya nini watu wa system? kwanini wanakunyanyapaa ndg yangu?
Duh...!, mtu hajawahi kuwa chawa, sasa anelekea 60 ndio aanze kujifunza uchawa!Jifunze kuwa chawa.
Ukiwa sio kujipendekeza type ni kutojipendekeza, mimi niko down to earth, kosa langu ni mkweli too much na sijaweza kujigunza kunyamaza.Badilika, jishushe na uchague kujipendekeza na kusifia.
It's very unfortunately, I'm not a believer!Ikiwezekana waone wazee wakutambikie. Halafu waganga nao wana nafasi yao
Sijawahi kufukuzia teuzi!. Mfano sasa, macho yote ni 2025 watu wasio na jicho la 3, wanajua 2025 ni Mama, mtu anayefukuzia teuzi anaweza kupandisha bandiko kama hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamkektk safari yako ya kufukuzia teuzi.
Kuitumikia Nchi sio lazima uteuliwe japo ukiteuliwa ni vyema zaidi na maslahi ya Umma na ya binafsi yote yanatumikiwa Kwa pamoja🔥🔥Kwa juhudi zako za huku unastahili sasa sijui kama unaifaa nchi au inafaa maslahi binafsi😆
Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu