Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Hapana mkuu mimi sisaki uteuzi kuandika humu jukwaani.Lucas mwashambwa chawa msaka Posti, Vipi mama hajakuoana bado tu?[emoji1787]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndio, wewe ni mpambanaji wa kusaka teuzi...uko sahihi kabisa!.Acha Dhararu kijana.mimi mpambanaji na siyo kwamba natafuta uteuzi
Huyo alishavuka hizo level za uDC,yeye anapambania jimbo,japo wajumbe hawajaridhiaHivi kwanini lakini ndg yetu na kipenzi chetu Pascal Mayalla hawampi nafasi ktk teuzi zote hizi?!!
Mkuu Pascal Mayalla uliwafanya nini watu wa system? kwanini wanakunyanyapaa ndg yangu?
Jifunze kuwa chawa. Badilika, jishushe na uchague kujipendekeza na kusifia. Ikiwezekana waone wazee wakutambikie. Halafu waganga nao wana nafasi yao ktk safari yako ya kufukuzia teuzi. Hivyo usiwaache sana.
Inshaalah ipo siku jina litatokelezea tu...
Hapana mimi napambania Taifa langu linaloongozwa na mzalendo wa kweli mh Dr Mama Samia Suluhu Hasssan.Ndio, wewe ni mpambanaji wa kusaka teuzi...uko sahihi kabisa!.
Kilasiku teuzi tu kwani hakuna kingine cha kufanyaRais Samia ameteua na kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA).
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Sixtus Raphael Mapunda kutoka Wilaya ya Sumbawanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akichukua nafasi ya Mobhare Holmes Matinyi ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Rais Samia pia amemhamisha kituo cha kazi Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Kenan Laban Kihongosi kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba Mkoani Songwe akichukua nafasi ya Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM.
Amemteua pia Elibariki Bajuta, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora akichukua nafasi ya Kihongosi ambaye amehamishiwa Momba.
Amemteua Nyakia Ally Chirukile kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga ambapo akichukua nafasi ya Sixtus Raphael Mapunda aliyehamishiwa Wilaya ya Temeke, kabla ya uteuzi huu Ndugu Nyakia alikuwa Katibu Tawala wa Ngorongoro.
Amechukia kisa udini, alijua wameteuliwa ma imamu.
Subiri teuzi za maana, utafuta hii comment.Mbona wote ni jumapili tu?
Ohooooo tutaandamana mjueeeee
Pascal Mayalla yupo kwenye list ya wanaofanya vetting, au unataka ajiteue? Hiyo kazi ya kuwafanyia vetting wengine inamtosha sana...make ina marupurupu na takrima kibao kuliko hizo teuzi zenyewe.Hivi kwanini lakini ndg yetu na kipenzi chetu Pascal Mayalla hawampi nafasi ktk teuzi zote hizi?!!
Mkuu Pascal Mayalla uliwafanya nini watu wa system? kwanini wanakunyanyapaa ndg yangu?
Jifunze kuwa chawa. Badilika, jishushe na uchague kujipendekeza na kusifia. Ikiwezekana waone wazee wakutambikie. Halafu waganga nao wana nafasi yao ktk safari yako ya kufukuzia teuzi. Hivyo usiwaache sana.
Inshaalah ipo siku jina litatokelezea tu...
Tanzania ina magwiji wa uongo wangali vijana.Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu
Kkenge ww99% ni wa imani ile
Katutumikie mkuu [emoji2956]Hatimaye nimelamba Uteuzi [emoji16][emoji16]
Swaga tuu bossKatutumikie mkuu [emoji2956]
Kazi njema ,amin amin [emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Una delusion ?!!! [emoji15][emoji1787]Kwann iwe Kila siku uteuzi hakuna kazi zingine
Wapi nimedanganya?!!! [emoji1787]Acha kudanganya watu kwasababu ya uchawa wako.