Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

ephen_ hili lisemwalo lina ukwel? Et unalenga mbali kwa lucas?
 
Kurugenzi ya mawasiliano ya rais huchelewa sana kutoa habari, huku JF wamekuwa mbele kuandika mafanikio ya ziara za nje za rais, wakati kurugenzi ni wazito kiasi mitandao inakuwa imeshatoa muelekeo wa taarifa za ziara huku kurugenzi baadaye saaana ndiyo huja kujaribu kutoa habari wanazodhani ndiyo sahihi kiserikali huku mitandao tayari imeshamaliza kiu ya taarifa za ziara kwa mrengo chanya au hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…