Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Mtoa taarifa naye imemuhusu leo. Hatimaye muweka sumu wa CCM kalamba uteuzi huko kisarawe. Bado mme wa ephen_ kula uteuzi. Wanawake huwa wana angalia mbali sana na kusoma nyota za wanaume kuwa watakuwa nani mbeleni ndio maana dada yetu amemmomalia Lucas.
ephen_ hili lisemwalo lina ukwel? Et unalenga mbali kwa lucas?
 
Kurugenzi ya mawasiliano ya rais huchelewa sana kutoa habari, huku JF wamekuwa mbele kuandika mafanikio ya ziara za nje za rais, wakati kurugenzi ni wazito kiasi mitandao inakuwa imeshatoa muelekeo wa taarifa za ziara huku kurugenzi baadaye saaana ndiyo huja kujaribu kutoa habari wanazodhani ndiyo sahihi kiserikali huku mitandao tayari imeshamaliza kiu ya taarifa za ziara kwa mrengo chanya au hasi
 
Back
Top Bottom