Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.

Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..

Mama anaupiga mwingi!

Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
VoA ni Mabeberu hawatupendi.
Bi. Zuhura Yunus anaandaliwa ndio mgombea mwenza 2025,
 
Zuhura alifaa TBC, samaki yake maji.

Ila pia Zuhura alikosa media strategy katika ziara ya Korea, sasa sijui nafasi za wanahabari wa Tanzania ambao wangeripoti kila kitu zilichukuliwa na wasanii, anyway labda kaolewa,.mzee anaona kuna missing in action nyumbani
amepanda sana cheo naibu katibu mkuu sio mchezo huyo mwakani anakuwa waziri wa habari
 
Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.

Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..

Mama anaupiga mwingi!

Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
🤣 🤣 🤣
 
Zuhura alifaa TBC, samaki yake maji.

Ila pia Zuhura alikosa media strategy katika ziara ya Korea, sasa sijui nafasi za wanahabari wa Tanzania ambao wangeripoti kila kitu zilichukuliwa na wasanii, anyway labda kaolewa,.mzee anaona kuna missing in action nyumbani
🤣 🤣 🤣
 
Bi Zuhura kakwama wapi Ikulu....
Samia anajifanya mbabe sana hiyo wizara kampa Cheo Zuhura Yunusi MzanIbari ni wizara ya Muunganono katikati mambo ya muungano tuliyokubaliana kwenye katiba? au anaketa chokochoko makusudi watanganyika walipuke litokee kundi lingine la G55 bungeni litake livunje muungano?

Samia kapania Kuvunja muungano TISS na vyombo vya Ulinzi na usalama kazi kwenu kumdhibiti Kwa kuangalia katiba mumeapa kulinda katiba mudhibitini huyo mkiuka katiba bila woga Wala Nini kwanza Hana ubavu wa kuwafanyia chochote mkimkkomalia

Mkomalieni

Huyu mama Yuko serious kuvunja muungano siasa Kali muislamu huyo na nyie muwe serious hasa mkomae hasa mumkomalie anadhani kuwa Raisi ndio aweza fanya chochote kuvunja muungano

Kama mlivyomshughulikia Aboud Jumbe na yeye mashughulikieni

Mjinga huyo Tanzania ni zaidi ya yeye wake Up TISS na jeshi
 
Kuna marehemu katokea kwenye mkeka

Wanaopumua bado wanajipendekeza uchawa wateuliwe wapi hahahaha
 
Attachments

  • Screenshot_20240606_200123_Chrome.jpg
    Screenshot_20240606_200123_Chrome.jpg
    259.6 KB · Views: 3
Huyu yunus si mzanzibari??
Samia kapania kuvunja muungano sio muumini wa muungano huyo kabisa

Anaamini kwenye serikali Tatu analeta chokochoko Kwa makusudi muungano uvunjike anaona watanganyika wako kinywa anawachokonoa kusudi wawake muungano uvunjike

Dawa yake ni TISS na Jeshi wamfungashe virago kama walivyofanya Kwa About Jumbe na Self Shariff Hamad kazi kwao

Wameapa kulinda katiba. Raisi akikiuka katiba wale sahani naye moja without fear or whatever na Mahakama wachachamae majaji wameapa kulinda katiba na wabunge wachachamae bungeni wameapa kulinda katiba huyu mama anasigina katiba adhibitiwe upesi Kwa spidi ya mwewe
 
Samia anajifanya mbabe sana hiyo wizara kampa Cheo Zuhura Yunusi MzanIbari ni wizara ya Muunganono katikati mambo ya muungano tuliyokubaliana kwenye katiba? au anaketa chokochoko makusudi watanganyika walipuke litokee kundi lingine la G55 bungeni litake livunje muungano?

Samia kapania Kuvunja muungano TISS na vyombo vya Ulinzi na usalama kazi kwenu kumdhibiti Kwa kuangalia katiba mumeapa kulinda katiba mudhibitini huyo mkiuka katiba bila woga Wala Nini kwanza Hana ubavu wa kuwafanyia chochote mkimkkomalia

Mkomalieni

Huyu mama Yuko serious kuvunja muungano siasa Kali muislamu huyo na nyie muwe serious hasa mkomae hasa mumkomalie anadhani kuwa Raisi ndio aweza fanya chochote kuvunja muungano

Kama mlivyomshughulikia Aboud Jumbe na yeye mashughulikieni

Mjinga huyo Tanzania ni zaidi ya yeye wake Up TISS na jeshi
Mkuu taratibu, hasira na chuki havisaidii. Utajitafutia matatizo bure!
 
Back
Top Bottom