Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
VoA ni Mabeberu hawatupendi.Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.
Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..
Mama anaupiga mwingi!
Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Bi. Zuhura Yunus anaandaliwa ndio mgombea mwenza 2025,