Ni yule mwenye kibiongo?Itozya Sasa ni muda wa kunikumbuka classmate ,sio kila ukiwa Mbeya unavunga uko bize ,Sasa hivi nitapanda gari mpaka kisarawe nije kukumbusha wema wangu kwako .
Anyway hongera sana Magoti ,nimefurahi kusikia hivyo
Hata masaa sita hayajapitaLeo si alikua anaongea na waandishi wa habari Ikulu, kumbe kuna watu walikua wanamcheki tu.
Hivi hizi teuzi zinakuwa kuwaje. Mwashamba naye alikuwemo?Hongereni wateuliwa...
Huyu mama anahangaika sana na teuzi kuliko anavyotatua matatizo ya watanzania. Nchi ngumu sana hii.Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
---
View attachment 3010565
View attachment 3010566
View attachment 3010567
Chawa wa mama wamemzungukaBi Zuhura kakwama wapi Ikulu....
😅Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.
Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..
Mama anaupiga mwingi!
Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Aneteuliwa kuwa nani mkuu?Kapanda mno
Kama akina nani mkuu?Nilichopendea hii teuzi kuna watu wametoka Chini sana, yaani kwenye idara za chini huko na kulamba cheo. Hii inaitwa zamu yako ikifika utaitwa.
Mkuu 'Shotocan', nimekusoma toka huko juu.Matatizo shenzi wewe hiyo wizara ya muungano ? nani atishia nyau nani labda bwege wewe
Msigwa ni Katibu mkuu 😄😄Zuhura anaenda mbele kwa mwendo wa pole.
Kawaida ukitoka pale unakuwa balozi au cheo kama hicho au cha juu yake.
Nadhani anapelekwa juu taratibu
Aise mambo mengine kama watanzania wameisha,ukitegemea mwanasiasa akubadilishie maisha yako utasubiri mpaka yesu arudi wapo kwa ajili yao na matumbo yaoMajina ya hIzi tarakimu mbili ni ya kiukoo kama akina Kijazi au ni majina ya matukio kama akina Tibaigana?
View attachment 3010591View attachment 3010590
Ni kweli, lakini usisahau kuwa alipitia Idara ya Habari Maelezo kama Mkurugenzi akichukua nafasi ya Dr Hassan Abasi.Msigwa ni Katibu mkuu 😄😄
Ulale Unono
Mwashambwa ni DARASA LA SABA TU, hawezi kupangiwa majukumu yoyote zaidi ya kusifia wateule tuNilikuwa namtafuta Mwashambwa, aliyemuona jamani tafadhari
Kabisa kabisa, hiyo ndio sababu ya kubadilishiwa majukumu yake HARAKA.Tuhuma za kukoboana bi mkubwa kaogopa kashfa.......
Mzanzibar huyo.Wapare njooni huku mthibitishe mpare wa wapi huyo mama yake na baba yake je ni wapare?
Wapare karibuni
Nasikia ni mashosti wa muda murefu.....Kabisa kabisa, hiyo ndio sababu ya kubadilishiwa majukumu yake HARAKA.
Licha ya magoti alivyo naskia yuko fit balaa martial arts anarusha ngumi za hatarii huyo. Hadi ana blackbelt.
[/QUBila shakaNi yule mwenye kibiongo?