Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Matatizo shenzi wewe hiyo wizara ya muungano ? nani atishia nyau nani labda bwege wewe
Mkuu 'Shotocan', nimekusoma toka huko juu.
Nilisha sema humu mara kadhaa, kwamba huyu mama na kundi lake kuna kitu kinachowapa kiburi. Sijui ni kitu gani hasa; maanake hakuna jambo lolote wanalofanya likawastua kwamba pengine litaleta mtafaruku. Wanajiamini sana.

Lakini pia kumbuka, hiyo katiba unayokumbushia, ni huyo huyo alishawahi tamka hadharani kwamba ni vikaratasi tu hivyo.
Matumaini yangu ni kwamba siku moja tutajua ujasiri wao huu unatokana na nini hasa..
 
Back
Top Bottom