Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tatizo sugu,mwaka wa tano huu bado yuko kwenye trial and error.
La kwako limo DC Mbozi 🐼🤣Nakuja kusoma Majina.
Hivi ndio vitu vya kijinga sana vinafanyika katika nchi yetu - viongozi wetu kutotambua mipaka ya kuwa mkereketwa wa chama cha siasa na kiongozi mtendaji wa serikali, halafu mnaenda kuleta migongano pale watendaji wa serikali wanapofanya majukumu yao ya serikalini kichama
Kumekuuuchaa..... na hapo "roporopo" hajaanza kazi rasmi 😄😄
Huyu ana gundu utafikiri amezini na mbwa.La kwako limo DC Mbozi 🐼🤣
😂😂😂😂Hadi afisa tarafa !