Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

Hivi ndio vitu vya kijinga sana vinafanyika katika nchi yetu - viongozi wetu kutotambua mipaka ya kuwa mkereketwa wa chama cha siasa na kiongozi mtendaji wa serikali, halafu mnaenda kuleta migongano pale watendaji wa serikali wanapofanya majukumu yao kichama
Wapo wakina nasari Chadema
Marehemu mama Anna toka ACT
Marehemu mrema toka TLP

Na wengine kibao toka ndani na nje ya nchi
 
Wapo wakina nasari Chadema
Marehemu mama Anna toka ACT
Marehemu mrema toka TLP

Na wengine kibao toka ndani na nje ya nchi
Ambao walipewa nafasi za serikali wakati vyama vyao vikiwa ndio chama tawala, sivyo?
 
Mantiki ya swali lako ni nini mkuu? Kuna sehemu katiba imekiukwa au ni utashi wako?
Huwezi kuelewa, na wala tusipotezeane muda kwa sababu tunaliangalia hili jambo kutoka sehemu mbili tofauti
 
UTEUZI, UHAMISHO NA MABADILIKO YA VIONGOZI MBALIMBALI
 

Attachments

  • IMG-20250124-WA0085.jpg
    IMG-20250124-WA0085.jpg
    121.5 KB · Views: 5
  • IMG-20250124-WA0084.jpg
    IMG-20250124-WA0084.jpg
    76.9 KB · Views: 4
  • IMG-20250124-WA0083.jpg
    IMG-20250124-WA0083.jpg
    121.2 KB · Views: 4
  • IMG-20250124-WA0082.jpg
    IMG-20250124-WA0082.jpg
    103.6 KB · Views: 5
  • IMG-20250124-WA0081.jpg
    IMG-20250124-WA0081.jpg
    99.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom