Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

Inamaana waliogawa uraia wa Tanzania kama njugu wanaendelea kutesa kitaa?
 
Angalau safari hii amepunguza kuteua wanasiasa na kuteua watumishi waandamizi.
 
Biashara asubuhi jioni mahesabu 🤣🤣🤣🤣
 
Naona jamaa wa usalama wawili wametolewa kule Kilolo baada ya kumaliza kazi yao na sasa tunaletewa Dodoma.
 
Itafika wakati mpaka mkuu wa shule ya msingi atateuliwa na rais 😀😀😀
 
Hivi ndio vitu vya kijinga sana vinafanyika katika nchi yetu - viongozi wetu kutotambua mipaka ya kuwa mkereketwa wa chama cha siasa na kiongozi mtendaji wa serikali, halafu mnaenda kuleta migongano pale watendaji wa serikali wanapofanya majukumu yao ya serikalini kichama
Mkuu, Sijui huelewi nini.
Hizo recycle and reuse ni kwamba wengi ndani ccm walambe asali. Hayo mambo ya majukumu sijui utendaji wala migongano unayajua wewe. Mtu wa ccm anaweza teuliwa, kuhamishwa, kustaafishwa ama kutenguliwa atakavyo mwenye kiti!
 
Back
Top Bottom