Hili ni tatizo sugu,mwaka wa tano huu bado yuko kwenye trial and error.
La kwako limo DC Mbozi πΌπ€£Nakuja kusoma Majina.
Hivi ndio vitu vya kijinga sana vinafanyika katika nchi yetu - viongozi wetu kutotambua mipaka ya kuwa mkereketwa wa chama cha siasa na kiongozi mtendaji wa serikali, halafu mnaenda kuleta migongano pale watendaji wa serikali wanapofanya majukumu yao ya serikalini kichama
Kumekuuuchaa..... na hapo "roporopo" hajaanza kazi rasmi ππ
Huyu ana gundu utafikiri amezini na mbwa.La kwako limo DC Mbozi πΌπ€£
ππππHadi afisa tarafa !