Rais Samia afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Januari 24, 2025

Wapo wakina nasari Chadema
Marehemu mama Anna toka ACT
Marehemu mrema toka TLP

Na wengine kibao toka ndani na nje ya nchi
 
Wapo wakina nasari Chadema
Marehemu mama Anna toka ACT
Marehemu mrema toka TLP

Na wengine kibao toka ndani na nje ya nchi
Ambao walipewa nafasi za serikali wakati vyama vyao vikiwa ndio chama tawala, sivyo?
 
Mantiki ya swali lako ni nini mkuu? Kuna sehemu katiba imekiukwa au ni utashi wako?
Huwezi kuelewa, na wala tusipotezeane muda kwa sababu tunaliangalia hili jambo kutoka sehemu mbili tofauti
 
UTEUZI, UHAMISHO NA MABADILIKO YA VIONGOZI MBALIMBALI
 

Attachments

  • IMG-20250124-WA0085.jpg
    121.5 KB · Views: 5
  • IMG-20250124-WA0084.jpg
    76.9 KB · Views: 4
  • IMG-20250124-WA0083.jpg
    121.2 KB · Views: 4
  • IMG-20250124-WA0082.jpg
    103.6 KB · Views: 5
  • IMG-20250124-WA0081.jpg
    99.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…