Wakuu wa mikoa na wilaya wana umri wa kustaafu kama watumishi wengine?
Relax and calm down gentleman π
Maafisa Tarafa unawajua mkuu?Hadi afisa tarafa !
Ni lo, naenda Singida
Mkuu, Sijui huelewi nini.Hivi ndio vitu vya kijinga sana vinafanyika katika nchi yetu - viongozi wetu kutotambua mipaka ya kuwa mkereketwa wa chama cha siasa na kiongozi mtendaji wa serikali, halafu mnaenda kuleta migongano pale watendaji wa serikali wanapofanya majukumu yao ya serikalini kichama