Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wawili, leo Desemba 14, 2022

Wakachape kazi sasa maana Rais Samia Suluhu amewaamini
 
Mbona barua imeandikwa kimazwazwa sana hii? Hizi wizara hazikuwa na makatibu wakuu?
 
Mbona barua imeandikwa kimazwazwa sana hii? Hizi wizara hazikuwa na makatibu wakuu?
Kilio cha samaki baharini. Ina maana waliokuwepo machozi yao au wao wenyewe wamechukuliwa na mkondo wa maji 😎
 
Ndiyo kazi aliyobakiza anayoiweza.Lakini mambo ya msingi kama kuzuia mifumuko ya bei, umeme nk vyote vimemshinda.
Mfumuko wa Bei upo asilimia ngapi?..unatakiwa kuwa ngapi?..lini ulikua hapo?..tatizo la umeme limeanza 1991
 
Nimepends hiyo kuteua watu ambao wapo kwenye mfumo wa kitu husika. Hakuna kitu sikukipenda kama kuchukua eti Professor wa chuo katibu mkuu, yaani haikuwa sahihi.
 
Siku hizi Waislamu nao wanapatapata nafasi kidogo, hii si mbaya!
Acha fikira hizi, Mkuu. Hazijengi nchi bali zinaibomoa.
====
Washington DC 14 12 2022.
Hivi hii inakubalika, kufanya kazi kwa staili hii?

Binafsi, hii naona kama kule ndio wamempangia nani wa kuteua kwenye nafasi hizo. Hivyo, kiasi Fulani kupunguza ushawishi wa maamuzi. Nadhani lisifanyike Tena kwa mtindo huu. Maana halileti picha nzuri kwa baadhi ya Wananchi.
 
Umeongea point mkuu.
Sure mkuu wangu. Ma Professor wao wapewe funding za kufanya tafiti. Maana unakuta hata mshahara tofauti ni ndogo mno tena mno halafu professor kazoea kutoa kozi work matokeo yake wengi walishindwa kufanya vizuri, na wizara nyingi wameziharibu maana utamaduni wao na walikopelekwa ni tofauti kabisa.
 
Halafu uzi umepotezewa, Kiana. Au umefichwa na kauli ya kutogongewa mlango na mwenye deni lake??
 
Wakati huo huo hakuna ajira kwa vijana.
 

Hawashindwi kufanya chochote,kwani hujui?
 
Zamu ya waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…