Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Naona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!

Ally Hapi bado anakumbukwa!

Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!

Walishtaki kesi za Rushwa kama uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa kinyume na Sheria , kesi ya rushwa inakua uhujumu uchumi
 
Inatoka kuwa Mkuu wa JKT hadi kuwa RC Tena mwenye cheo cha Major General Hapa Ni kupanda au kushuka kitaalamu imekaaje!??


Huyu mwamba kunasehemu kakosea!!
 
Utawala wa Mama tunademka kwa zamu, ukidemka leo usidemke sana, kesho anaweza kukuchania mkeka. Kigogo na ufukunyuku wake wote kashindwa kubashiri hata teuzi moja ya Mother! Itakuwa majina anayavaa kwenye kipochi na anatembea nayo kila anapoenda.
 
Ina maana wengine wana umri mdogo kumzidi. Sema ameamua kumtupa kando labda kuna jmbo hawakuelewana
Ndo hapo Nashangaa mama Mgwira anastaafu halafu Mahenge anapeta yule babu???

Makongoro ndo kwanza anaingia sema kastaafishwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…