Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Natamani kujua kwanini mkoa wa Kagera wakuu wa mkoa huo mara nyingi wanapelekwa wanajeshi?
Wanyarwanda Ngara na Biharamuro waliifanya mali yao zama za JK. Kila siku walikuwa wanauwa watanzania huko na kuingiza mifugo kama kwao.

Magufuli akapiga stop huo upuuzi, watanzania tunasahau haraka sana changamoto zilizokuwa za kawaida katika baadhi ya maeneo kabla ya Magufuli.
 
mkurugenzi wa mawasiliano ikulu kaenda tofaut UDART sio wakala wa mabasi yaendayo haraka UDART ni kampuni ya mabasi tena private wakala ni DART na mkurugenzi wake ni lwakatale sasa uyo wa udart kama ni private atapigwaje chini

hapa serikali imeingia chaka wakuu
 
kwa hiyo viongozi wawe wa kudumu. Maana kutekeleza plans zako it takes years n years. Haipaswi iwe mtu anatekeleza hili na lile. Yapaswa system ndio iwekwe na ifuatwe ktk kutekeleza mopango ili mtu akifa afilie zake hatta wewe ukimrithi utaendeleza.
Hakuna sababu ya kubadili badili watendaji
 
Kigogo hata hajulikani anaongea nini, mother kabana balaa, tatizo Magu alikuwa hana siri na mropokaji, wengine aliyekuwa anawapa hizo siri hawakuwa watu wazuri kwake. Kigogo sasa anapambana na Biswalo baada ya kushindwa vita na Dk. Mpango.
 
Hatutaki plan zake tunataka kipaombele cha nchi na wananchi ni nini!Wameapa watafanya kazi popote na walisaini.
 
Amos Makala alikuwa bench sio,
kitabo alikuwa Rukwa.
safi sana sasa apige kazi kweli kweli.

Mkoa wa Dar unataka mtu makini sana na mfuatiliaji, bila kusahau ukali ni muhimu inapo bidi.
nginja ngija......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…