Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Mongella kapelekwa MaraMONGELA simuoni. Vipi mfumo umemkataaa.
Maj Gen MBUGE amemalizwa, uCDF ndo kama uusahau vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mongella kapelekwa MaraMONGELA simuoni. Vipi mfumo umemkataaa.
Maj Gen MBUGE amemalizwa, uCDF ndo kama uusahau vile.
Labda naweza kumbukwa na mie ngoja tusubilie [emoji3]Bado maDC!
Ya kweli, mateja wengi na wauza unga walikufa baada ya kuwabania kupata ile kitu.Makonda anadhulumu uhai wa watu.
Kitendo cha happi na chalamila kuwa bado ulingoni, kanitibua huyu Mother Theresa hadi bas khaaaaaah.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kigogo2014 mkuu ni lipumbavu! Lilikuwaga linajidai kutoa mabrekingi nyuzi sasa hivi linaugulia maumivu limekuwa ka taahira vile linavyojisemeshasemesha!Kigogo hata hajulikani anaongea nini, mother kabana balaa, tatizo Magu alikuwa hana siri na mropokaji, wengine aliyekuwa anawapa hizo siri hawakuwa watu wazuri kwake. Kigogo sasa anapambana na Biswalo baada ya kushindwa vita na Dk. Mpango.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera kafulila - malamba viatu kumekulipa...waache wajeuli waendelee kupiga majungu mitandaoni na kusaga lami huku wewe unapigwa full kiyoyozi kwenye gari vieiteee lako na nyumbani..
Kumbe ndio hivyo bwashee. Basi kula pensheni.Sisi tulishastaafu bwashee!
DodomaAmos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.
Karibu Dar mh Makalla
Tena haswaaaaah.Hapo ndipo mtu anaweza kuamini kuwa uchawi na ushirikina upogo na unafanyakazi!
Kwenda wapi?Hao wanaonyeshwa mlango wa kutokea tu
Amina bwashee!Kumbe ndio hivyo bwashee. Basi kula pensheni.
Kula kiongozi na jeshi lake mwana,huwezi kuongoza kwa jeshi la mwengine.Huyu sio magu na wala haongozi kama magu.na waru kama nyie mnaotaka umagu uendelee inabidi mbadirike,sasa kama angeaacha kila kiongozi alipo alafu hao viongozi wakafa ingekuwaje?!.Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kurithisha wengine anachofanya ili akiondoka aloyaacha yaendelee.Enzi za magu kila kitu ilikuwa ni yeye ndo maana alivoondoka watu wanachanganyikiwa,mwacheni mama apige kazi anavyoweza.Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.
Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?
Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.