Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Hongera kafulila - malamba viatu kumekulipa...waache wajeuli waendelee kupiga majungu mitandaoni na kusaga lami huku wewe unapigwa full kiyoyozi kwenye gari vieiteee lako na nyumbani..
 
Kigogo hata hajulikani anaongea nini, mother kabana balaa, tatizo Magu alikuwa hana siri na mropokaji, wengine aliyekuwa anawapa hizo siri hawakuwa watu wazuri kwake. Kigogo sasa anapambana na Biswalo baada ya kushindwa vita na Dk. Mpango.
Kigogo2014 mkuu ni lipumbavu! Lilikuwaga linajidai kutoa mabrekingi nyuzi sasa hivi linaugulia maumivu limekuwa ka taahira vile linavyojisemeshasemesha!
 
Hongera kafulila - malamba viatu kumekulipa...waache wajeuli waendelee kupiga majungu mitandaoni na kusaga lami huku wewe unapigwa full kiyoyozi kwenye gari vieiteee lako na nyumbani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Inamaana charles mbuge ameshushwa cheo hadi kuwa brig jen?...wakati huo huo inaonesha marco gaguti amepanda cheo na kuwa maj jen
 
Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.

Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?

Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
Kula kiongozi na jeshi lake mwana,huwezi kuongoza kwa jeshi la mwengine.Huyu sio magu na wala haongozi kama magu.na waru kama nyie mnaotaka umagu uendelee inabidi mbadirike,sasa kama angeaacha kila kiongozi alipo alafu hao viongozi wakafa ingekuwaje?!.Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kurithisha wengine anachofanya ili akiondoka aloyaacha yaendelee.Enzi za magu kila kitu ilikuwa ni yeye ndo maana alivoondoka watu wanachanganyikiwa,mwacheni mama apige kazi anavyoweza.
#kaziiendelee. Panga safu mama.
 
Back
Top Bottom