Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ndugu zetu walifanyiwa sana mambo ya kishenzi alipoingia Hayati wale jamaa wakatia akili.Wanyarwanda Ngara na Biharamuro waliifanya mali yao zama za JK. Kila siku walikuwa wanauwa watanzania huko na kuingiza mifugo kama kwao.
Magufuli akapiga stop huo upuuzi, watanzania tunasahau haraka sana changamoto zilizokuwa za kawaida katika baadhi ya maeneo kabla ya Magufuli.