Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ndugu zetu walifanyiwa sana mambo ya kishenzi alipoingia Hayati wale jamaa wakatia akili.Wanyarwanda Ngara na Biharamuro waliifanya mali yao zama za JK. Kila siku walikuwa wanauwa watanzania huko na kuingiza mifugo kama kwao.
Magufuli akapiga stop huo upuuzi, watanzania tunasahau haraka sana changamoto zilizokuwa za kawaida katika baadhi ya maeneo kabla ya Magufuli.
Ana mgwilla Ameachwa.
amestaafu
Shonza ni miongoni mwa takataka nyingi zilizokuwa zinajaza nafasi chademaKweli kwa wapinzani wanawake huyo anaakili acha waliokua wapinzani wajinga kama shonza
Nyie wahaya much know sanaNatamani kujua kwanini mkoa wa Kagera wakuu wa mkoa huo mara nyingi wanapelekwa wanajeshi?
Mnajuana...!Hawapo bado ni mfumo dume mbele kwa mbele, “Wanawake HAWAPENDANI”
Anajua mipango ya Mjini asili tumerudi ulingoni kwa kasi.Amos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.
Karibu Dar mh Makalla
Watu washasahauNdugu zetu walifanyiwa sana mambo ya kishenzi alipoingia Hayati wale jamaa wakatia akili.
Chadema wameangukia pua tena.
Chama hiki kina laana
tulizeni viuno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Huyu aendelee kuwatukana wastaafu. Samia nimeanza kuwa na mashaka naye. Huyu kumbe bure, tumeliwa kabisa
Kwani mkoa wa Iringa alikotokea una thamani gani kuuzidi mkoa wa Tabora kiasi mpaka unahisi amepewa yellow card?Hapi kupelekwa Tabora hiyo yellow card ana mdomo mchafu mabega yalianza kidogo kupanda ila bado mdogo ana nafasi ya kujifunza maana hujui kesho ikoje hasa katika nafasi za uteuzi na siasa kwa ujumla.
Ulikuwa unatakaje?Japo hatumpangii ila kwa kiasi kikubwa hakushauriwa vizuri katika nafasi za ukuu wa mikoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa wa Iringa ni moja ya mikoa mikubwa katika kilimo wazalishaji wakubwa tu, Huyu kijana kuna kipindi kauli zake za kibabe kufokea watu wewe mtumishi wa watu tatua shida za watu mbona mama kimya kimya tu lakini shughuli yake unaiona.Kwani mkoa wa Iringa alikotokea una thamani gani kuuzidi mkoa wa Tabora kiasi mpaka unahisi amepewa yellow card?
Vinginevyo huyu Ali Hapi ana dosari gani zinazomuondolea sifa?
Bashite atakuwa askari sero ukongaHahahaaaa, Bashite hata haonekani jamani..
Bado wakuu wa wilaya sasa
Umeona eeh!Makongoro kawekwa huko ili aomdoke CCM watu wapange yao ma si vinginevyo. Maana ni kati ya watu wenye misimamo.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mtaka bado ameachwa chini, alitakiwa apandishwe cheo.Kwa kweli nasema ukweli kabisa kama kungekuwa na bet ningewin maana nilimtabiria kabisa anapelekwa makao makuu kabisa yaani kuona jina lake ni kama niemeshinda bahati nasibu.