Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Napongeza kuteuliwa kwa Joseph Sokoine kuwa katibu mkuu mambo ya nje ambaye aliwahi kuwan balozi wa Tanzania EU, Belgium na kutenguliwa na marehemu mwendazake aliyedhani ataishi milele kwa sababu alikwenda kumtembelea Lissu hospitalini Ubelgiji
 
Mtaka bado ameachwa chini, alitakiwa apandishwe cheo.
Mtaka anatakiwa apewe nafasi ya kitaifa.
Nafasi kama katibu mkuu wizara ya Tamisemi au Ofisi ya Waziri mkuu
Ila pamoja na mazuri yao, huenda wana mapungufu ambayo hatuyajui.
Mtaka kapewa Dodoma na hiyo ni heshima ni mji mkuu na kuna projects nyingi sana zinaendelea makao makuu kwa hiyo ni upgrade kwake.
 
Napongeza kuteuliwa kwa Joseph Sokoine kuwa katibu mkuu mambo ya nje ambaye aliwahi kuwan balozi wa Tanzania EU, Belgium na kutenguliwa na marehemu mwendazake aliyedhani ataishi milele kwa sababu alikwenda kumtembelea Lissu hospitalini Ubelgiji
Magufuli si alikuwa na roho mbaya, mzee alikuwa nuksi kweli yule,

Ningekuwa mchawi tungeila nyama yake uku tukimsimanga mwanzo mwisho
 
Hotuba ya Mama siku ya kuapishwa ilinipa matumaini makubwa kwamba ataibadili nchi lakini kauli zake baada ya hapo na maamuzi yake ikiwemo baadhi ya TEUZI yamesababisha matumaini yangu yashuke sana. Ngoja tuangalie anakoelekea.
Nimestaajabu kwakweli...jiwe alijitahidi kubalance[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali kwa Takukuru, sasa Hamduni akapambane na Rushwa ndani ya taasisi na nje ya taasisi hivyo kutenda haki kama jumuiya ya watanzania inavyotaka
 
Hamduni mstaarabu mno
 
Baada ya muda mrefu Dar inarudishwa kwa watoto wa mjini.
Ingawa Makalla amezaliwa Morogoro, lakini ni mwana Dar anayejua mila na tamaduni za Dar.
 
Yule Kunenge kapelekwa wapi Mkuu? Alikuwa poa ukilinganisha na muuaji Bashite.
Baada ya muda mrefu Dar inarudishwa kwa watoto wa mjini.
Ingawa Makalla amezaliwa Morogoro, lakini ni mwana Dar anayejua mila na tamaduni za Dar.
 
Kuna wapuuzi hapa watakupinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…