Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Uteuzi makini Mama sasa Kazi iendelee.
 
Kwanini Tabora iwe yellow kadi? Unaichukulisje Tabora?!
Sioni tatizo la Hapi Mimi binafsi...huyu dogo atafika mbali Sana...anaweza hata akawa PM baadaye...
Mi pia nimeshangaa mkuu.
Mkoa kama Tabora na raslimali zake uje udai kuhamishiwa huko ni adhabu!!?
Tabora ni mkoa wa watu waungwana na wastaarabu tangu zamani
 
hivi wakuu PCCB si sio taasisi ya MUUNGANO why mzanzibar aiongoze.kule znz wao wana ZAECA.Naona kwa mbali huyo DG mpya wa PCCB anakuja kumrithi IGP SIRO,mana kasharushwa cheo kutoka ACP TO CP.kuna cheo cha SACP kakiruka hapo.i think hyo ndo IGP mpya after SIRO
 
bila shaka unatania,,,, jokate ana mipango nae🤔?
 
Naona Mkuu wa JKT wa zamani Maj. General Charles Mbuge katolewa na kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa Kagera.

Maj. General Charles Mbuge anatakiwa ajitathmini sana utendaji wake na tabia zake za hovyo alizokuwa nazo akiwa JKT maana hiyo imekuwa ni demotion kwako.

Wakati wa utendaji wake akiwa Mkuu wa JKT Maj. Charles Mbuge alikuwa na mapungufu na natatuzo yafuatayo;

1. Kujipendekeza sana kwa mwendazake mpaka alifikia kuwadharau mabosi wake

2. Hata kupandishwa cheo kuwa Maj. General kulikuwa na walakini

3. Empties😆😆😆 za vijana waliokuwa wanakwenda JKT na hivyo kupelekea kuwa na malipo yaliyokuwa na walakini sana. Mh. Rais apeleke team ya wakaguzi kwenye makambi yote ili kukinganisha idadi halisi ya vijana waliokuwa wanapelekwa JKT na idadi ya pesa iliyokuwa inaombwa hazina
4. Alikuwa anaoenda kuwanyanyasa wale wote waliokuwa na mawazo tofauti kuhusu kumanage rasilimali fedha na hivyo kupelekea kuwahamisha vituo kama ishara ya kuwakomoa
6. Kuna badhi ya askari alikataa kuwapanxisha vyeo mwezi wa 2 wakati walikuwa wanastahili kutokana na chuki binafsi tu.

7. Kuna askari mmoja yuko Kigoma alitakiwa apandishwe cheo mwezi wa 2 kuwa Major lakini Maj. General Mbuge alilinyofoa jina lake wakati wa kuyapeleka majina Ngome ili kumkomoa askari husika kwa chuki binafsi tu

8. Maj. General Charles Mbuge kutokana na kutojiamini na ukizingatia kuwa na shule ndogo aliwagawa wafanyakazi wa JKT

Mwisho, atakaekuja kuchukua nafasi ya Maj. General Mbuge ajaribu kuangalia weakness alizokuwa nazo Mbuge ili kujenga team work na nidhamu kwenye jeshi letu, acha mambo ya kuonea watu.

Asante!!
 
Halafu nimeona wameandika brig jen mbuge ..inamaana amevuliwa nyota moja au?
 
Inatoka kuwa Mkuu wa JKT hadi kuwa RC Tena mwenye cheo cha Major General Hapa Ni kupanda au kushuka kitaalamu imekaaje!??


Huyu mwamba kunasehemu kakosea!!
Mkuu ukumbuke pia kuna "General" amewahi kuwa mkuu wa Mkoa Shinyanga na Kagera, Gen. Kiwelu.
 
Inatoka kuwa Mkuu wa JKT hadi kuwa RC Tena mwenye cheo cha Major General Hapa Ni kupanda au kushuka kitaalamu imekaaje!??


Huyu mwamba kunasehemu kakosea!!
Kwangu Mimi naona huyo jenerali hajakosea kitu...Mhe. Rais anapanga safu yake jeshini...Ni lazima aweke loyalists wake kwenye sehemu nyeti jeshini...mabadiliko yanakuja jeshini no doubt about it...hata huko TISS na polisi kutakuwa na mabadiliko...Ni kawaida kabisa akija Rais na Amiri Jeshi mpya..
 
Cha msingi Raisi azingatie kuteua viongozi kwa kusudi la utawala Bora, na si chuki na kukomoa mtu!

Hayo mambo alikuwanayo Jiwe, kashafukiwa nayo! Yasijirudie Tena!

Du. Jiwe alikuwa na nia njema sana na nchi yenu. Shida kubwa. Nyie wote wapiga domo hamjui hata nchi kama Tz. Inataka Nini kwa wakati gani. Ukiona unamwelewa sana kiongozi ujue Kuna Shida. Rais sio katibu kata anayefanya kila kitu mwenyewe. Mnapoandika Ni kama vile Rais anafanya yote kwa knowledge binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…