Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Si mlikuwa mnademka hapa kwamba Mama anaanza kuwateua toka huko?Ilianza lini hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mlikuwa mnademka hapa kwamba Mama anaanza kuwateua toka huko?Ilianza lini hiyo
Tabora ni moja ya mikoa maskini sana Tanzania na maendeleo kama hakuna kwa hiyo mchango wake katika uchumi ni mdogo sana. Mimi sina tatizo na huyu kijana ila mdogo na atajifunza kama alikosa huko nyuma zile kauli za kupanda mabega "unanijuwa mimi wewe" na kunyoshea watu vidole wewe umeteuliwa tu fanya kazi unaweza kuwa mkali huku ukawa na adabu. Nakuambia hiyo yellow card chance ya kufanya makosa Tabora ndogo ila akiharibu na huko anaenda Red card one way, Tabora shule kwake itakuwa.Kwanini Tabora iwe yellow kadi? Unaichukulisje Tabora?!
Sioni tatizo la Hapi Mimi binafsi...huyu dogo atafika mbali Sana...anaweza hata akawa PM baadaye...
rais afanyi kazi kwa matakwa ya kikundi fulani.Raisi Samia tuletee makonda hapa Kilimanjaro amnyooshe mnywa konyagi na genge lake.
Wengine hatuna tabia ya kusifia maamuzi yasiyo stahili kusifiwa.everything anafanya rais ni kupinga. kama angekuwa mtu wa kufanya ili apate sifa..angesha teua safu ya mpya muda mrefu sana.
lakin hakurupuka kachukua muda kafanya maamuzi.
MONGELA simuoni. Vipi mfumo umemkataaa.
Maj Gen MBUGE amemalizwa, uCDF ndo kama uusahau vile.
Jamaa ni mtu poa. Kuna ishu tu nina mashaka nae ya Sugu kufungwa maana wakati ule alikuwa RC MbeyaAmos Makalla ni mtu mzuri aliondolea kwa misimamo yake tu history ya mtu inakufuata unakoenda alifanyiwa fitna nyingi lakini alikaa kimyaa tu.
Kwanini Tabora iwe yellow kadi? Unaichukulisje Tabora?!
Sioni tatizo la Hapi Mimi binafsi...huyu dogo atafika mbali Sana...anaweza hata akawa PM baadaye...
Kudemka kote jana leo umegeuka tena?Huyu aendelee kuwatukana wastaafu. Samia nimeanza kuwa na mashaka naye. Huyu kumbe bure, tumeliwa kabisa
Agwe na elimu wapi na wapi, waache wagogo waendelee kuomba gwalaTunakwenda kuishuhudia dodoma ikipanda kielimu vya kutosha, mtaka yupo smart sana kwenye elimu.
demotionJaman naomba kuuliza ivi katibu wa bunge kuteuliwa mkuu wa mkoa Kilimanjaro ni promotion au demotion?
Mfano alifanya vizuri kumleta Morogoro yule Masai maana anajua matatizo ya wakulima na wafugajiMama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.
Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.
Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
Huyu aendelee kuwatukana wastaafu. Samia nimeanza kuwa na mashaka naye. Huyu kumbe bure, tumeliwa kabisa
Exactly Magufuli alikuwa anaweka watu kwa sababu wanayajua hayo maeneo au kwenda kutatua changamoto sugu kutokana na skills zao.Mfano alifanya vizuri kumleta Morogoro yule Masai maana anajua matatizo ya wakulima na wafugaji
From Chato to Tunguu.....Hongera Mama kwa Kuizindua Ikulu ya Jamuhuri ya Muungano Tunguu Zanzibar.
Hakuna Raisi yeyote aliyewahi kuifanyia kazi Ikuluhii kwa Uteuzi mkubwa kama Huu.
Edi Mubaarak Raisi wangu Mzalendo Mwana wa Zanzibari
Karibu Urojo na Vileja Hapa Mwembe Tanga.
Shurba pia ipo leo jioni wenye futari ya mfungo wa Sita.
Ukiniahidi kujanitakuchinjia Mbuzi wawili wa Mtibe nyama Laini.
Hii yakucheza Mpira inasaidia niniAmos Makala mtu safi sana pia kujumuika na watu na anapenda kucheza mpira wa miguu
Unataka Mtu akusomee kwa niaba yako? Hukwenda shule?Mtaka aliyekuwa mkuu wa mkoa wa simiyu na Anna mkuu wa mko wa Kilimanjaro siwaoni wameachwa