Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Hebu nenda uko bana na diplomasia zako msitufanye wajinga hapa.!!Tozo zimepunguzwa na zingine kuondolewa lengo la kuondoa tozo ni kumuinua mtanzania na sio kumdidimiza na Rais Samia Suluhu kupitia hizi ziara zake anakuza diplomasia ya uchumi
Kwani hizo tozo aliweka nani??
Alafu Leo uje uzitoe sijui kupunguza tuanze kukusifu??
Wakati anaweka tozo hakujua hali za watu wake??
Hizo siasa zenu msizilete kwenye mambo ya msingi ya maisha ya watu.
Unga kilo 2200 huku alafu mnaleta hadithi za diplomasia.!!!?