Rais Samia afanyiwa Ibada Maalumu nzito Vatican

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania wakatoliki walioko huko VATICAN. Ambapo ni ibada maalumu ya kufunga mwaka wa masomo VATICAN.

Jumuiya hiyo ya kikatoliki inaundwa na Watumishi wa Mungu wapatao 302, Wakiwemo Mapadre,Mashemasi,Watawa na Mafrateri. Ambao wanapata Elimu katika vyuo vikuu vya VATICAN.

Ibada hiyo maalumu iliambatana na hafla ya kuwaaga na kuwakaribisha wanafunzi wengine kutoka Tanzania. Ibada hiyo pia ilihudhuriwa na Mheshimiwa Hassan Iddi Mwamweta ambaye ni mlezi wa jumuiya hiyo na mwenye makazi yake Nchini Ujerumani.

Pia alikuwepo Balozi Mahmoud Kombo Balozi wa Tanzania Nchini Italia. Itakumbukwa pia ya kuwa mnamo Tarehe 12-2-2024 Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alipofanya ziara ya kikazi kwa mualiko maalum wa papa Fransis VATICAN aliweza kuonana na jumuiya hii na Diaspora wengine na kufanya nao mazungumzo.

Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi. Kilichoinuliwa na Mungu ni lazima kiombewe nguvu ya ulinzi kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyemuinua kwa mkono wake .ndio maana watu wanaendelea kumuombea dua njema ndani na nje ya nchi.kwa kuwa wanaona kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu mpendwa kwa uzalendo na hofu ya Mungu ndani yake. Ndio maana amekuwa kipenzi cha viongozi mbalimbali wa Dini na madhehebu yote hapa Nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
FaizaFoxy na Malaria 2
 
Leo umesahau kuweka namba ysko ya simu
 
Anafanyiwa Ibada nzito ili iweje wakati kapanga kuiba Kura?!
Acha kumchafua na kuchafua taswira nzuri ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa,anayependwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania ndani na nje ya Tanzania.
 
Kaingia madarakani kwa wizi mkubwa wa kura.
Endeleeni kupiga porojo zenu huku Mheshimiwa Rais Daktari Samia na CCM akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.

Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwapigia kura ya ndio CHADEMA chama cha kibabaishaji
 
Naomba ieleweke, muhula alio Samia Suluhu siyo wa kwanza. Anamshikia mwendazake kama katiba inavyosema. Muhula wake utaanza 2025. Tukifuata katiba mama anaweza kuwa rais aliyekaa madarakani muda mrefu kwa Tanzania baada ya Nyerere. Haki huinua taifa. Nawasilisha.
Mkuu isome tena katiba....
Imezungumza kama Makamu atakuwa amerithi kiti kwa Raisi ambaye alitawala chini ya miaka mitatu ,ndiyo muhula hauto hesabika...
 
Back
Top Bottom