Rais Samia afanyiwa Ibada Maalumu nzito Vatican

Lucas hawezi kuelewa somo hili liko juu sana ya ufahamu wake.
 
Utakufa na wivu wako huo nakuiacha CCM ikiendelea kuongoza Taifa letu na kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania.
 
Hiyo
Itakuwa katiba ya ukoo wako ,lakini kwa katiba ya tanzania samia hajabakiza kipindi hata kimoja bali kichama anaruhusiwa kugombea tena na ni iwapo atapita ndani ya chama basi anaweza kuwa rais mwaka 2025
 
Hiyo

Itakuwa katiba ya ukoo wako ,lakini kwa katiba ya tanzania samia hajabakiza kipindi hata kimoja bali kichama anaruhusiwa kugombea tena na ni iwapo atapita ndani ya chama basi anaweza kuwa rais mwaka 2025
Naomba upige mstari maneno haya kwamba ndani ya CCM Fomu ya Urais Ni Moja tu kwa ajili ya Rais Samia.
 
Mama hakufanyiwa Ibada Maalumu. Umepotosha. Haikuwa Ibada kwa Mama, ila aliombewa katika Ibada ya kuagwa kwa wanafunzi. Pia, Wanafunzi husika hawakai Vatican. Wanafunzi wanakaa Italy. Tunao utaratibu wa kumwombea, wala si mara ya kwanza. Wewe haukuwepo, umepewa habari na watu wa Ubalozi ama rafiki zako walioshiriki. Wahusika wanafunzi walitangaza lengo la Ibada yao. Mfano, kwenye ibada, kama una record kamili, Walianza kuombewa viongozi wa Kanisa, na baada ya hierakia yao, aliombewa Rais, na mwisho wakaombewa Marehemu kama hitimisho la sala ya Maombi. Je, akijitokeza mtu kuandika "Wafanya Ibada Maalumu kuombea Marehemu", atawasilisha ujumbe wa Ibada husika?
Usipike habari zisizo na ukweli kutafuta umaarufu wa kisiasa. Rais ni wetu, tunamwombea kila jumapili. Na kama ni tukio Rasmi, tunatangaza. Jana HAKUKUWA NA IBADA RASMI YA KUMWOMBEA RAIS. Kulikuwa na Ibada rasmi ya Kuwaombea na kuwaaga wanafunzi wahitimu, na kumwombea Fr mmoja Mjubilei, tena Mwandishi mbobezi wa kimataifa, (ataandika habari yake na itabeba hadi voice note ya mabalozi wote, ndipo ulinganishe na habari zako). Katika Ibada husika, waliombewa Viongozi wa Kanisa, Serikali na Raia, na Marehemu wote.
Political popularity shouldn't sell fake news at the cost of others.
Jamii forums na Jamii check yao walipaswa kuchuja habari yako. The first souce of information was the celebrant of the religious service. Basing on second hand from a mere participant who lacks the clues of the event would easily aid you buying cheap likes.

Swali rahisi tu, Unajua tofauti ya Italy na Vatican, mambo gani ni ya pamoja ama ya tofauti kati yao, hadi uje useme Wanafunzi waishio Vatican?
Hutakuwa na ukweli kuliko wahusika. Hata ukimwuliza Balozi Kombo aliyepo hapa Italy, yule baba mkweli sana, ataona habari yako ni uwongo.
 
Shetani mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome
 
Hiyo ibada gani kiongozi was ibada ni ustaadh Mtubhati maamuma au waitikiaji was Dua ni makatekista mixer mapadri🤣🤣🤣itakuwa ibada ya wafu hii
 
Naona Kiswahili kinawapiga chenga, hiyo inaitwa dua au maombi, siyo ibada.
 
Jumuiya ya wakatoliki waishio Vatican, mapadri... mlezi wao awe hassan iddi, mkazi wa Ujerumani; si maajabu hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…